Kupanda kwa bei ya vinywaji vya coca cola company

Hii yote ni kwa ajili ya Tisheti na Kofia aliyopewa malari sugu ndio wote tunazilipia miaka 5 ijayo
 
Hapo jani katika pita pita yangu mtaani nimekuwa nikiskia tetesi kuhusu kupandishwa ghafla bei za vinywaji vya kampuni ya coca cola, tetesi hizi zimenishtusha zaidi baada ya kuona matangazo na posterz nyingi asubuhi hii huku mitaani zikiashiria kupanda huku kwa bei, ambapo kwa sasa soda aina ya coca cola, fanta, sprite, na stone tangawizi zitauzwa kwa bei ya sh 500/=,

swali ni kwamba, bunge la bajeti ndio hupanga bei mpya za bidhaa, sasa iweje bei zinapandishwa kinyemela na wakati bunge la bajet lilisha pitisha bei za bidhaa.
Longlive ... Balimi Extra...Ze Kick... Bingwa...Guiness Lager!!
 
Hapo jani katika pita pita yangu mtaani nimekuwa nikiskia tetesi kuhusu kupandishwa ghafla bei za vinywaji vya kampuni ya coca cola, tetesi hizi zimenishtusha zaidi baada ya kuona matangazo na posterz nyingi asubuhi hii huku mitaani zikiashiria kupanda huku kwa bei, ambapo kwa sasa soda aina ya coca cola, fanta, sprite, na stone tangawizi zitauzwa kwa bei ya sh 500/=,

swali ni kwamba, bunge la bajeti ndio hupanga bei mpya za bidhaa, sasa iweje bei zinapandishwa kinyemela na wakati bunge la bajet lilisha pitisha bei za bidhaa.

mkuu uwe makini kwa post zako,kumbuka july 31 mwaka huu bunge liliamua kuwa vinywaji baridi,sigara vitapanda bei. Kwa iyo bunge lilishapitisha,kumbuka kuwa aya makampuni yalichelewa kupandsha bei. Usiwe mbishi,NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.
 
Back
Top Bottom