tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,405
Lakini lets be honest....ivi kweli 3 years ya kumchunguza mtu in detail...bado kweli haitoshi mm kuridhika na nyendo zake na kuamua kumfanya mke ??
Watu wanaponda humu perhaps wamekwisha umizwa sana na wapenzi wao....i kno, feel and understand it.....
Tofauti za kibinadam zipo sikatai but a woman who has like 78% of tha things and qualities i want....a woman wit standards and good morals....
vitu ambavyo kwa muda huo nimeviona kabsa ni real kwake na ha fake chochote, a woman who can live a life of anytype asiyekua na tamaa za kishamba na sio mpenda anasa. A woman who always talks and does things to build our life and home together no matter tha costs....achilia mbali familia yao ni ya watu wenye maadili, wenye hofu na Mungu yet very successful and humble.
I'M SORRY GUYS....NASEMA HIVI HUYU MWANAMKE SIMUACHI NA NITAMUOA, NITAISHI NAE NA KUMPENDA KWA MOYO WANGU WOTE. Ewe MWENYEZI MUNGU NISAIDIE. #AMEN .
Km umemchunguza 3 yrs..its enough kwa wewe kuweza kumuoa..mbaya ni ile mmekutana January mmetiana mimba march june mnaoana...humjui mtu wako inside out....