Kupajua nyumbani tu, anataka nimuoe

Lakini lets be honest....ivi kweli 3 years ya kumchunguza mtu in detail...bado kweli haitoshi mm kuridhika na nyendo zake na kuamua kumfanya mke ??

Watu wanaponda humu perhaps wamekwisha umizwa sana na wapenzi wao....i kno, feel and understand it.....
Tofauti za kibinadam zipo sikatai but a woman who has like 78% of tha things and qualities i want....a woman wit standards and good morals....
vitu ambavyo kwa muda huo nimeviona kabsa ni real kwake na ha fake chochote, a woman who can live a life of anytype asiyekua na tamaa za kishamba na sio mpenda anasa. A woman who always talks and does things to build our life and home together no matter tha costs....achilia mbali familia yao ni ya watu wenye maadili, wenye hofu na Mungu yet very successful and humble.

I'M SORRY GUYS....NASEMA HIVI HUYU MWANAMKE SIMUACHI NA NITAMUOA, NITAISHI NAE NA KUMPENDA KWA MOYO WANGU WOTE. Ewe MWENYEZI MUNGU NISAIDIE. #AMEN .

Km umemchunguza 3 yrs..its enough kwa wewe kuweza kumuoa..mbaya ni ile mmekutana January mmetiana mimba march june mnaoana...humjui mtu wako inside out....
 
Km umemchunguza 3 yrs..its enough kwa wewe kuweza kumuoa..mbaya ni ile mmekutana January mmetiana mimba march june mnaoana...humjui mtu wako inside out....

Si ndio mi nashangaa 3 years....watu wana insist im making a wrong decision cumon...Dah
 
Unaoa wewe kiongozi. Wewe ndio unamjua huyo manzi vizuri, wewe ndio utaishi nae na wala sio hawa wanaokuponda humu...!

Hata hivyo hakuna awezaye kubashiri mambo yajayo, weka kifaa ndani. Muhimu kufanya wajibu wako...nae afanye wajibu wake...!
 
100/100 chief. U have a point.
 
3 years....seriously how long shud it take to judge someone ???

inatosha basi.....fanya maamuzi muwe mke na mme.....

unajua kuna mambo hayahitaji watu wengine kukushauri haswa kama wewe ndiyo mhusika mkuu....wewe wajua moyo wako na wamjua mwenzako......
 
Fanya vile utakavyo mkuu kwani wewe ndiye utakayeenda kuishi naye
yatakayokupata ndo wewe utajutia na yatakajitokeza yatabaki kwenye
akili yako hivyo maamuzi magumu unayo wewe acha kutusumbua hapa
 
Fanya vile utakavyo mkuu kwani wewe ndiye utakayeenda kuishi naye
yatakayokupata ndo wewe utajutia na yatakajitokeza yatabaki kwenye
akili yako hivyo maamuzi magumu unayo wewe acha kutusumbua hapa

Heee jazba zote za nini mdada ?? Hahahaha dah heb nisikizeni i already made my decision over a year ago.....siombi ushauri wala kulia shida kwa mtu.

All i did was share this experience i went thru kwenye hili jukwaa....kwan JF ni sehem ya kulia shida na kuomba ushauri pekee.....???

I was done replying to your posts hours ago sasa nakusumbua na kitu gan hasa ndugu ?? I'm suprised u kno. It makes me think, u keep commenting here and forcing ur presence on me. Hahahaha seems umeamka na mimi siku ya leo. Waliokwisha eleza maoni yao wanapita kimya kimya humu.

NOTE: A silent fool is counted wise.
 
:juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle:

dalalitz

First of all, im not a kid and not a coward, you have no idea of tha type of life i live or going through and i have already made my decision over a year ago, im just sharing my experience here.issue is sipendi kua a source of someone's pain and suffering.Put urself in tha shoes ya yule mwanamke nliyemuacha...try to imagine yuko katika hali gan.?

Tumeumbwa tofauti, sometimes huwa nakua mkatili sana in my daily grind issues but kwa yule mwanamke ni wazi nimemkosea na nilazima niwe na huruma...kuchezea feelings za mtu is no good thing at all.

Akifanya kitu cha kudhuru maisha yake.unafikiri ntakua katika hali gani mm nliyemsababashia hayo matatzo ?? Think of her well being and future....its easy to talk and brag out loud in here.Think before u post.
Mtu anaye tishia kujiua kisa umuoe, jiandae kupelekeshwa

Utakumbuka sana huyu dada uliyempiga chini, I bet itakunyima raha
 
Back
Top Bottom