Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,321
Pole. Nijuavyo kitaalam ugonjwa unaitwa Haemmorrhoids. Ulikuwapo tangu enzi na kama unasoma biblia utaona walipomtaja Yesu anaponya hemmordotory man. Sijui imani yako ila ili jambo si la imani,nlitaka kukueleza story ya ugonjwa huo. Pia ijulikane kuwa hospitali wana dawa ya kupunguza maumivu wala si kuponya,kinyama kikizidi kukua huwa kinaanza kuuma sana ktk umri wa miaka ya 18 na kuendelea. Hospitali watakwambia kikikua wanafanya normal surgery lakini ukata tu na kuendelea kukua tena. Kuna mgonjwa mmoja wa kiume nlimkuta hospitali ila yeye kesi iko serious zaidi kwani anawashwa sana na kinabana aja kubwa. Huu ni ugonjwa suru na ni kati ya magonjwa yasiyotibika hospital,sana sana utapewa annal suppositories ambayo ni vdonge vyenye mafuta mafuta,pamoja na dawa za kupaka,huwa zinafanya cells na vishipa vidogo vilivyo kwenye uvimbe viache kuongeza blood pressure kwenye kidonda. Ni mda mrefu namsaidia mgonjwa wangu ambaye mwaka jana alipata nafuu kwa dawa nliyoijua kutoka kwa wataalam/Doctors wa USA ila wanauza utaalam online,ila wanauza bei ghali kama dola 600 ivi. Kwa kuwa namjua mgonjwa mmoja ambaye hana uwezo kabisa sikuweza kumshauri ivo,ila kiukweli dk.alieleza fruits zenye content flani,nlichofanya ni kwenda kusearch zile chemical combinations nkagundua moja ya tunda ni zabibu mbivu na kinywaji flan chenye chemical combination ile,bado naendelea na utafiti ila kwa zabibu ni bora maana jamaa amejaribu kula zikamsaidia pole pole ila kinywaji ndo supa bt kwa ili mleta mada aniPM nlimuelekeze. Nb. Mi si daktari, sitoi dawa,sijagundua dawa. Nifanyacho ni utafiti,mtu akipona ndo ntaileta public. Jaman kama mtu akipata haemmorrhoids asitegemee kupona hospital,jaribu kutafuta ktk mitandao ujiridhishe madaktari bingwa walivoshindwa. Wahaya wanazo dawa,ila wagumu kutoa,nasikia kuna miti inaitwa kwa kihaya 'entare ye'irungu, omurehe,oluturu' nayo ni mbadala. Yakwanza3 nimeitafuta nkakuta inaleta nafuu ila si dawa kamili,ya mwisho sijaifanyia utafiti. Wale waishio dar mtafute sheikh mmoja magomen mapipa,ni mtaalam wa miti shamba,atakayetaka mawasiliano naye aniPM nimpe mwelekeo. Pia watakotaka hospitali dsm kuna dk.mmoja bingwa anaitwa Dr.Ndille,anafanya kazi pale Kariukì hosp.na kama sikosei na muhimbili,pia Dr.Nelson naye yupo hapo ila ni mtaalam kutoka Ghana,cjui kama bado yupo Tanzania. Ktk takwimu inasemekana ugonjwa huu umeenea sana kwa watu wengi ila watu uuficha. Yani over 40%ya kila watu 10 uwakumba. Tatizo ni kuwa watu ukimbilia kwa waganga wa jadi,kupiga ramli wakidhani wamerogwa wakati si ugonjwa wa mambo hayo. Siku njema.