Kuongea na Mhudumu wa Vodacom ni kama imefutwa

Mimi nawapata kwa urahisi..

Sehemu nilisumbukaga ni Tanesco, kuna siku simu inaiitaaa mpaka unachoka. Kuna staff wao akaniibia siri, pale pa kuchagua lugha uwe unaweka kingereza.
Jamani ilifanya kazi, simu ndani ya seconds kadhaa ishapokelewa. Na ndio ushakuwa mchezo wangu
Ni kweli kampuni nyingi ukipiga chagua kiingereza faster wanapokea
 
Mimi nawapata kwa urahisi..

Sehemu nilisumbukaga ni Tanesco, kuna siku simu inaiitaaa mpaka unachoka. Kuna staff wao akaniibia siri, pale pa kuchagua lugha uwe unaweka kingereza.
Jamani ilifanya kazi, simu ndani ya seconds kadhaa ishapokelewa. Na ndio ushakuwa mchezo wangu
Hahaha unachagua english akipokea mnakorogana kiinglishii au mnaendelea kiswahiliii...wanajua mzungu huyu, wajinga kumbee na waoo
 
Tigo kidogo Wana nafuu
Kama line yako ni postpaid au Ina huduma ya Lipa kwa simu ukipiga 101 unawapata hapo hapo bila matangazo
Kwa line ya kawaida ukipiga pia ukafata maelekezo unawapata
Call center yao Wana agents wengi sana
Kwahiyo simu zinawahi kupokelewa
 
Hahaha unachagua english akipokea mnakorogana kiinglishii au mnaendelea kiswahiliii...wanajua mzungu huyu, wajinga kumbee na waoo
Wanakuwa fasta mnooo wakiona ni call ya English.
Akipokea anaanza yeye na salutation, akimaliza me nachomeka shida zangu na kiswahili.
 
Menu mpya ya voda ni mbaya na inatumia muda mrefu kwa kurefusha process makusudi..

Naina walidhamiria kupunguza mzigo kwa call centre ila wajue wanaongeza mzigo kwa wateja wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom