kindamba kuchocha
Member
- Jun 16, 2015
- 19
- 2
Habari wana jamii! Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu kutoka chuo kimoja hapa nchini . Nilimaliza chuo mwaka jana 2014 na nikabahatika kupangiwa ajira mpya za ualimu juni mwaka huu .
Lakini
Nimepata ajira kwa mtu binafsi ananilipa mara tatu ya mshahara ambao ningepata huko selikalini namaslahi mengine kadhaa!
Bosi wangu ni raia wa kigeni anaweza kuondoka nchini mwakani au miaka mitatu ijayo .
Naomba ushauri wana forum,
Vipi naweza kufanya ili kuipata tena ajira ya serikali pindi nitakapomaliza mkataba wangu huu?
Katika ajira mpya ya serikali niliyopangiwa mwaka huu sijaripoti na wala sijafanya lolote kuhusu ajira hiyo .Natanguliza shikrani zangu za dhati kwenu .