Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Mie napenda sana na tunaishia kumegana huku shower likitusafisha jasho la mahaba
Ubarikiwe Chimunguru na penzi lenu/ndoa yenu idumu!
Mie napenda sana na tunaishia kumegana huku shower likitusafisha jasho la mahaba
Kuna raha yake kuoga na My Wife wako....
...Mihasira yote ya nini eh!?wewe ni mpumbavu na mjinga. How dare you call womens not only your wife, funza wa kike? mama yako ni mbwa na si mwanamke?
...Mkuu kuna wakati nilijikuta nahamishia mechi bafuni mh!...Kwa jinsi mnavyoteleza kwa maji yanayowamwagikia unaweza kujikuta siku nzima inaishia bafuni.....Kuna raha yake kuoga na My Wife wako....
wanajamii najua wengi ni wanandoa au mna wapenzi wenu
kuna mtu nilimsikia anasema kuoga pamoja kunaimarisha penzi ni kweli?
mimi uwa siogi pamoja na wife hebu nipeni dondoo na faida za kuoga pamoja
What about hizi bafu zetu za uswazi? Bafu passport size.
Kiujumla ni nzuri sana inajenga kuyajua vizuri maumbile ya mkeo akiwa mtupu na si kutamani mengine tena ya waliovaa. Hii pia inategemea na mahala penyewe mnapooga nyumba za kupanga ni ngumu sana hii inafaa kwa zile shower zenye nafasi na hasa zile MASTERBEDROOM!!
Oww really ? so its all about scratching your backs ? but I can scratch my own back...faida yake ni: 'scratch my back i scratch your back'!
Oww really ? so its all about scratching your backs ? but I can scratch my own back...
hiyo nzuri sana kwa kweli w/end nimeanza kupractise kuoga pamoja kwa kweli ni bombammmk,kuna wababe humu JF sipata kuona.
FAIDA ZA KUOGA PAMOJA.
1.MKIOGESHANA ILE SABUNI IKITELEZATELEZA NI RAHA SANA,USIKUTE MKAANZA MECHI HUKOHUKO.
2.HUONGEZA MAPENZI......KUOGESHANA/KUSUGUANA.
3.ZILE SEHEMU AMBAZO MIKONO HAIFIKI,MWENZIO ATAOSH
HASARA
1.MNAWEZA KUANZA MECHI NJE YA MATARAJIO YENU.
2.KAMA NI NYUMBA YA KUPANGA NI KERO KWA WENGINE,HASA KAMA CHOO NA BAFU NI HAPOHAPO.
3.WASIOWATAKIA MEMA MTAKUWA MMEWAPA HOMEWORK YA KUWASENGENYA NA KUWAFITINI.
faida yake ni: 'scratch my back i scratch your back'!
ni kwli.......kusuguliwa kumgongo raha....uku nanihiii inakugusa gusa afu mkimaliza kuoga tu.....au mmoija akimaliza kusuguliwa mguu tu......ngoma iyumuke.teh teh....... i wsh niolewe fasta fasta ili raha hii niipate muda wote ntakao taka!!!!!!!!:target: