Kuoa wanawake wengi na kutoa talaka ni dili

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
Jana katika heka heka za ulabu alipita nabii mmoja akatupiga na hii.
KUOA WANAWAKE WENGI NA KUTOA TALAKA SIO DHAMBI KABISA.

7304d1262082435-kuoa-wanawake-wengi-na-kutoa-talaka-ni-dili-kuoa-wake-wengi-na-kutoa-talaka.jpg
 

Attachments

  • Kuoa wake wengi na kutoa talaka.jpg
    Kuoa wake wengi na kutoa talaka.jpg
    300.4 KB · Views: 161
Ni kweli!
kimila mimi naweza sema TUNADUMISHA MILA NA DESTURI ZETU!
hebu ikuze hiyo document tuone proof
 
Ni kweli!
kimila mimi naweza sema TUNADUMISHA MILA NA DESTURI ZETU!
hebu ikuze hiyo document tuone proof

Aaah Bana hata kama haisomeki si unamgonga na SENKSI fasta? Ushamsahau baba mchungaji nabii wa jana?
 
Aaah Bana hata kama haisomeki si unamgonga na SENKSI fasta? Ushamsahau baba mchungaji nabii wa jana?
hapa ninakula,huku napitia jf!yaani huu mtandao utakuja vunja ndoa za watu!senksi nimshazigonga KAMA MLIVYO
 
Hahaha umesikia Jacob Zuma anaongeza kiburudisho cha 5 next monday, wewe Lily endelea kumbania Mr. wako huyo.
 
Kweli mwisho wa Dunia umefika.Yesu alisema itakuwa siku za mwisho manabii wa uongo watatoke ,hayumkini watawadanganya hata wateule.
MTEULE NAKUOMBA UWE MACHO TAFADHALI.
 
hivi fidel huyo aliyokupa huo waraka ni mzima kumukichwa au ndo aina ya wale wanaojiita masalia?
 
Back
Top Bottom