We mjomba unacheza hakuna cha kunyaza wala nini kuna watu wagumu kufika wewe !!
Iyo we unaiita kunyaza mi nlishapiga sana nikaambulia kuchubuka kichwa cha ......ooo !! Gemu linaenda dakika 40 mtu katumbua tu mimacho looo !!
Purple wewe iko penda ipi kati ya hizo?I think kunyaza na katerero ni the same tofauti ni lugha tu lol!
Buchooooooo wakora waitu...ndio hii hapa ?
Natamani niifungue lakini wateja nao hawapungui.