The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
Sawa, lakini imekuwa kama ndio moyo au ubongo wa mwili
Yaani watu wanataka raha iliyopindukia, sasa sijui hadi wanataka nini?
Wanataka kunyanza
Sawa, lakini imekuwa kama ndio moyo au ubongo wa mwili
Yaani watu wanataka raha iliyopindukia, sasa sijui hadi wanataka nini?
ndo maana unatakiwa ufanye kitu roho inapenda sio kufanya ili kumretain mtuatabaki kuwa mungu tu! Unyaze, ukojoe, unye kwa wenzetu wanaume lazima akachape nje! What is that for!!
Na uzee wangu huu, sijawahi sikia kuna mashindano ya kukata viuno, kujoa, kunya, kunyazwa etc. Kama kweli ni mchezo wenye maadili, watu mnajifunza kufanyana badala ya kufanya kazi za kujenga taifa. Umaskini kutuisha bado sana. Tuombe Mungu wetu atunusuru.
Atabaki kuwa Mungu tu! unyaze, ukojoe, unye kwa wenzetu wanaume lazima akachape nje! what is that for!!
hahaha..watu bwana!hamna dogo!!
Hivi tunataka raha sana ili iweje????
Hivi tunataka raha sana ili iweje????
Na uzee wangu huu, sijawahi sikia kuna mashindano ya kukata viuno, kujoa, kunya, kunyazwa etc. Kama kweli ni mchezo wenye maadili, watu mnajifunza kufanyana badala ya kufanya kazi za kujenga taifa. Umaskini kutuisha bado sana. Tuombe Mungu wetu atunusuru.
mi sijui bwana... Nimeokoka kwanza
afu we mwanamke kwa nini huwa unapinga kila mada inayoletwa hapa? Hauna matatizo kweli wewe?
raha yenyewe ya sekunde
Serves me right! Hivi mtu ukimchokoza mchokozi utategemea kupata nini?
Well, maana yangu ni hii: nilitegemea nyie wawili kuvutiwa na hii maada (I mean theoretically na sio PRACTICALLY). Ufafanuzi kwenye brackets ni kwa manufaa ya kina Bishanga, Excellent, Bujibuji and the likes, maana hawaaminiki hawa jamaa zangu!