Kununua Bendera ya Tanzania

PauloKichaa

Senior Member
Jun 6, 2011
122
39
Msaada, nahitaji kununu bendera ya Tanzania ya ukubwa wa urefu 1m na upana 0.8m, naweza nunua wap hapa Dar, nimetafuta maeneo mengi nimekosa au kama kuna mtu ana contacts plz.
 
Mkuu tafuta ofisi za GPSA (kwa ku-Google) ndiyo wanaouza bidhaa nyingi za serikali ikiwemo hiyo bendera unayoitafuta pamoja na picha za Marais wa Serikali ya muungano wa Tz.Hapa Dar sijui wapo wapi.Bendera hiyo unayoitaka inauzwa Tsh 82,000/= (Themanini na mbili elfu tu), Nawasilisha.
 
GPSA wapo Nyerere Rd kituo cha darajani karibu na Government Printing au karibu na Wizara yq Mali asili na Utalii!
 
Kama Uko Mkoani Unaweza Kuipata Kwenye Bohari Za Serikali Huwa Ni Rahisi Ila Tu Isiwe
Una Nia Ya Kwenda Kupeperusha Bendera Nyumbani Kwako.
 
Nipo palestina nataka mtu anitumie niliagiza mtu hapo nyerere road akakosa ila shukran ngoja niangalie kama naeeza pata namba zao
 
Back
Top Bottom