Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,367
We! Unatishiwa watu nyau. Njoo arusha hapa matejoo nikupe kitu inaumakitu gani huelewi??? tukutane wapi ili nikupe maelekezo ya kina?
We! Unatishiwa watu nyau. Njoo arusha hapa matejoo nikupe kitu inaumakitu gani huelewi??? tukutane wapi ili nikupe maelekezo ya kina?
Bwabwa, Akili Kichwani na JiuParatupu nawafeel!
Hamko peke yenu ila labda mie naongelea harufu ya kiutu uzima sio uchafu wa kutooga! Je ni kweli tunaumwa? ama ni dhambi?
Mie na shem wenu tumefika mbali zaidi hadi kwenye nguo zetu! Nadhani mnanielewa!
Mshauri awe ananyoa kila nywele zinapoota kwapani akioga na kusafisha kwapa, afanye hivi akate ndimu au limao katikati halafu apake chumvi kidogo na asugue kwapani, aache kama dakika 5 hivi halafu asuuze kwapa na maji, njia hii itasaidia kiasi au kuondoa kabis harufu!
mshauri pia awe anatumia deodorant.
Na wengine wanasema kuosha hilo kwapa na maji ya ukoko wa ugali pia inasaidia maana yake ukipika ugali then ukiloweka sufuria yale maji yake unaoshea kwapa lao ila sijui nni kwa muda gani inasaidia kuondoa hiyo harufu kali. ila ushauri wa kutumia ndimu uliotolea hapo juu ni mzuri sana na isitoshe ndimu/limao ni dawa ya vitu vingi hata fungus.