LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 13,901
- 19,122
Siku hizi unenaji wa lugha umepungua sana makanisani. Hii generation ya sasa wakiwemo wachungaji wao hawaelewi vipawa vya roho mtakatifu. Wanafundisha mambo ya ajabu ambayo old generation wanaona ni upuuzi mtupu. Mzee mzima unaingia kanisani kusali ukidhani utakutana na mambo ya wakati wako, unaishia kukwazika na mambo ya vijana wa leo wanavyoendesha ibada. Kwanza vaa yao ni utata mtupu, mahubiri ni vituko vitupu, habari za roho mtakatifu na injili za utakaso hazihubiriwi siku hizi. Hakuna wachungaji wanaojua kuchambua vitabu uya unabii, wanahubiri blaa blaa tupu. Afadhali ya wale wanaohubiri zaka na mafungu ya kumi