Kunani Kagera? Kuna mvutano kati ya Mkuu wa Mkoa Chalamila na wanasiasa wa Kagera? Msikilize Mwijage!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,009
20,683

Nadhani hali si shwari kati ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera na wanasiasa wa Mkoa huo. Maneno ya Mwijage ni kama vile anatupa vijembe kwa mkuu huyo wa Mkoa.

Itakumbukwa kwamba wakati akiingia kagera, Chalamila alikuwa akitoa kauli kwamba Diwani au mbunge akizingua anamuweka ndani, na alikuwa akiongelea masuala ya stendi na soko. Ikumbukwe mbunge wa Bukoba ni Naibu Waziri, na mbunge wa Karagwe ni Waziri. Haijulikani vitisho hivyo alivielekeza kwao ama laa.

Pia alikuwa akitishia kuweka rumande madiwani, na pia hivi karibuni Kuna story ya Binti kupata ujauzito na kwamba alishindwa kuripoti shule, Chalamila akasema Diwani anatetea hao wanaohusika, akasema na yeye akamatwe.

Nadhani Kuna kutunishiana misuli kati ya RC na wanasiasa wa Mkoa huo. Kisiasa, wenye kura(wabunge na madiwani) watamdondosha Chalamila.

Mwijage ndio senior kwa.wabunge wote wa kagera, na ndiye Mwenyekiti wa umoja wao.

Je Chalamila anakosea wapi? Au Wana kagera ndio wanakosea?

Nimekaa paleeee......kama wasiposuluhishwa, naona mtu akiondoka kagera.
Tasi bota waitu

View attachment 2539465

Tasi Bora waitu

View attachment 2539461
Hakuna lolote kubwa mafisi yanaparurana uakigombea mzoga
 
Kagera ni mkoa wenye siasa ngumu sana na siasa imezidi vipaumbele vya maendeleo ndio maana hauendelei
 
Kabisa, mlezi wa mkoa huo ni Waziri Mkuu, CDM wamekaa pale wanasubiri kuvuna matunda ya mivutano isiyo na msingi.

Chief anapiga jaramba.

Wasivuruge kura za mama tu, watakula za uso balaa
 
View attachment 2539465
Nadhani hali si shwari kati ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera na wanasiasa wa Mkoa huo. Maneno ya Mwijage ni kama vile anatupa vijembe kwa mkuu huyo wa Mkoa.

Itakumbukwa kwamba wakati akiingia kagera, Chalamila alikuwa akitoa kauli kwamba Diwani au mbunge akizingua anamuweka ndani, na alikuwa akiongelea masuala ya stendi na soko. Ikumbukwe mbunge wa Bukoba ni Naibu Waziri, na mbunge wa Karagwe ni Waziri. Haijulikani vitisho hivyo alivielekeza kwao ama laa.

Pia alikuwa akitishia kuweka rumande madiwani, na pia hivi karibuni Kuna story ya Binti kupata ujauzito na kwamba alishindwa kuripoti shule, Chalamila akasema Diwani anatetea hao wanaohusika, akasema na yeye akamatwe.

Nadhani Kuna kutunishiana misuli kati ya RC na wanasiasa wa Mkoa huo. Kisiasa, wenye kura(wabunge na madiwani) watamdondosha Chalamila.

Mwijage ndio senior kwa.wabunge wote wa kagera, na ndiye Mwenyekiti wa umoja wao.

Je Chalamila anakosea wapi? Au Wana kagera ndio wanakosea?

Nimekaa paleeee......kama wasiposuluhishwa, naona mtu akiondoka kagera.
Tasi bota waitu

View attachment 2539461
Shida inaanza pale ukijaribu kushindana na wazee wa fitina na unafiki hutoboi .

Ppoz wa mkoa huo ni wahitimu wazuri wa fitina na unafiki so kuendelea kuwepo kwa Chalamila kama hawatamtaka basi itakuwa ni Mungu tu .

Japo akitolewa huko namuona mkoa mwingine sio kuwekwa pembeni .

Ila hana mda Kagera huwezi shindana na akina Nshomile tena wenye fitina na unafiki wao ukapona .

Ebyo otalima bikushashaki kebifa ( niliambiwa hivi siku nilipoamua kuacha kazi huko mwaka 2002) nikakimbia siwezi sahau.
 
View attachment 2539465
Nadhani hali si shwari kati ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera na wanasiasa wa Mkoa huo. Maneno ya Mwijage ni kama vile anatupa vijembe kwa mkuu huyo wa Mkoa.

Itakumbukwa kwamba wakati akiingia kagera, Chalamila alikuwa akitoa kauli kwamba Diwani au mbunge akizingua anamuweka ndani, na alikuwa akiongelea masuala ya stendi na soko. Ikumbukwe mbunge wa Bukoba ni Naibu Waziri, na mbunge wa Karagwe ni Waziri. Haijulikani vitisho hivyo alivielekeza kwao ama laa.

Pia alikuwa akitishia kuweka rumande madiwani, na pia hivi karibuni Kuna story ya Binti kupata ujauzito na kwamba alishindwa kuripoti shule, Chalamila akasema Diwani anatetea hao wanaohusika, akasema na yeye akamatwe.

Nadhani Kuna kutunishiana misuli kati ya RC na wanasiasa wa Mkoa huo. Kisiasa, wenye kura(wabunge na madiwani) watamdondosha Chalamila.

Mwijage ndio senior kwa.wabunge wote wa kagera, na ndiye Mwenyekiti wa umoja wao.

Je Chalamila anakosea wapi? Au Wana kagera ndio wanakosea?

Nimekaa paleeee......kama wasiposuluhishwa, naona mtu akiondoka kagera.
Tasi bota waitu

View attachment 2539461
Tatizo la mkoa wa Kagera ujuaji ni mwingi sana watani zangu wahaya wanajifanya wanajua kuliko, na walalamishi sana Kagera huwezi ukafanya kazi Kwa Raha lazima wanasiasa na watu wambao wanaushawishi wakusumbue, Stendi imejaa matope ebo hiyo Airport miaka kibao haipanuliwi kisa ujuaji
 
Inaonekana baadhi ya wajumbe waliokua kikao cha faragha kule Arusha hawajaelewa malengo ya kikao
 
Back
Top Bottom