Kuna wandishi wa habari na watoa habari

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
175
212
Tanzania kwa sasa hakuna wa andishi wa habari kuna watoa habari zamani wanaojiita wa andishi wa habari walikua wana andika habari lakini kwa sasa wamekua watoa habari

Sasa hivi hawaandiki tena changamoto za wananchi kama zamani wakiona sehemu kuna changa moto labda wananchi hawapati maji au kero yoyote hile lazima wataiandika tu naku upasha umma pamoja na viongozi wa serikali

Lakini kwa sasa hawa andiki tena habari zinazo wa husu wananchi sasa hivi wanasubiri kiongozi akisema na wao ndio wanasema yani wa andishi wote wa zama hizi wamekua wasemaji wa serikali badala yakusema changa moto zinazo wakabili wananchi wao wamekua malipota wa serikali

Zamani TBC hilikua moja tu sasa hivi kila kituo cha habari kimekua kama TBC na chaneli ten bila ya mitandao ya kijamii tungekua gizani wa andishi wa habari

Nawaasa tumieni taaluma yenu ya habari vizuri acheni kuandika habari zakuegemea upande mmoja
 
Ni sahihi kabisa Tanzania tuna reporters Hatuna Journalists
Na kazi ya ku report hata kibaka Anaweza
 
Tuna hasara kubwa sana nchi hii tuna waandishi machawa kama yule Nevil Meena na yule Kibamba.
 
Back
Top Bottom