Kuna wanawake Wana roho mbaya, aibu hawana na kujificha hawawezi

Hapo mwenye makosa sio mama J, mwenye makosa ni wewe uliyeshindwa kumuangalia mwanao Kwa makini, haiwezekani mtoto afutiwe na dekio na wewe upo hapohapo unaangalia,,yaani how??hapo ulipowaza mkeo akifariki Mama J ataweza kweli kulea na kuangalia watoto Hilo swali jielekezee wewe binafsi,wewe ndio upo responsible Moja Kwa Moja kumlinda mwanao,mama J Hana uchungu hata robo na mwanao!,,halafu Tena unadiriki kusimulia na elf kumi ukampa?yaani dekio lilivyo na bakteria kweli ndio afutiwe binadamu sehemu za Siri?Nimeumia utasema huyo mtoto ni wangu aisee,huyo mtoto kafanyiwa unyanyasaji wa kisaikolojia mbele ya Mtu aliyetakiwa kumlinda,...Ungempeleka tu Kwa mama yake,kwanza mtoto mgonjwa anahitaji upendo wa mama yake unaanza kumpeleka Kwa manungayembe yasiyojua uchungu wa labour Kwa Nini lakini??...DEKIO? 🤔🤔🤔🥺🥺
 
Wakuu,

Mimi Ni baba wa watoto 5 na mtoto wangu wa mwisho wa miaka 2 kasoro anaumwa na Yuko Kwny dozi ya sindano, anatakiwa kupelekwa dispensary kuchomwa kila saa 12 jioni.

Sasa Leo nilishinda nyumban Siku nzima, ilipofika saa 1 kasoro usiku nikawauliza vp mbona mtoto leo hajapelekwa kuchomwa sindano? KILA mtu nyumbani akawa anamtupia mpira mwenzie. Nikaona isiwe kesi, ntampeleka mwenyewe.

Nmejiandaa,nmempakia na nmeenda nae dispensary na keshachomwa sindano, nikaona Ni mapema Sana kurud nyumbani, ukzingatia nilishinda home Siku nzima (sio kawaida yangu).ikabd niende kwa Mchepuko wangu kupoteza poteza muda Kisha baadae ndo ntarud nyumban.

Nmefika kwake kanipokea kwa furaha sn na bashasha zote na kunambia leo nmeamua kumsapraizi maana tangu azaliwe uyu mwanangu hajawai kumuona laivu Zaid ya kuona picha zake tu kwenye simu yangu. Basi tukacheka na kufurahi wote.

Akaniuliza aniandalie nn mpenz wake, Nikamwambia chochote kile Cha Moto Moto, akasema Basi ngoja aniandalie supu ya ng'ombe, Kuna nyama mbichi Kwny friji ilibaki, Nikamwambia itakua vzur Sana.

Sasa akiwa kaenda jikoni kuandaa supu, nami nikawa sebleni naangalia tv, mwanangu akaenda Kwny showcase ya tv kachukua mdoli wa dubu kaanza kuuchezea, kamkuta anachezea mdoli na Kwenda kuchumban kwake kamletea midoli mingine miwili ili achezee Zaid, Kisha karud zake jikon kuendelea kuandaa supu.

Supu imeiva kaniletea mezani na nyingine kdg kampakulia Mtoto ili anywe, anampozea Kwny kijiko na kumuwekea mdomoni, nikamwona mwanangu kama ana mafua mengi Sana puani.

Nikamwambia, " kwanza mfute mafua Ayo mtoto,unampaje supu na unaona kabisa ana makamasi kibao puani?" Akasema "POA". Kainuka na Kwenda nje kibarazani Kisha karudi na dekio mkononi, analigeuza geuza na kulichambua ili kupata sehemu Safi ili amfutie mtoto mafua.

Nikamuuliza,
"Are you serious unataka kumfutia mwanangu mafua na hilo dekio lako la kudekia humu ndani? Huna kitenge au khanga ya kumfutia Mtoto mafua?"

Akanijibu
"vitenge nilivyonavyo vyote ni vya kutokea, khanga nilizonazo zote za kuogea, labda kamnunulie leso tumfute, ulitakiwa utembee na leso mwanao uyu ana mafua makali Sana"

Nikamuuliza,
"Kwaiyo mwanangu ana mafua makali Sana mpk unaona kinyaa kumfutia na iyo khanga yako ulojifunga sio? "

Akasema
"Ayo umesema wewe, ila Hii kanga au zilizokabatini kwnagu siwezi kumfutia mwanao, zote Ni safi, lete buku tukanunue leso ya Mtoto, Kama utaki Basi, atakunywa supu na mafua yake"

Nikamwambia,
"Isiwe kesi, ntamfuta TU na shati langu" kweli nmeenda chumbani nilikovulia shati, nmerud nalo na nmemfuta mafua na mtoto kaendelea kunywa supu na stori nyngn zikaendelea.

Kamaliza kunywa supu, vyombo vimetolewa, mamaJ kaenda jikoni kupeleka vyombo vichafu Kisha kaja na ndoo ya maji yenye sabuni kusafisha mezani na chini alipokua analia Mtoto.

Akiwa anafuta chini ikabd amwinue Mtoto Ili asafishe na pale alikokaa Mtoto, ndo kustuka kumbe Mtoto kanya. Akanambia "mwanao kajinyea, kumbe ukumfunga pampasi?". Nikamjibu "nilimkurupua TU baada kua kila mtu home anajishauri kumpeleka Kwny sindano". Akaitikia Kisha kumrudishia alikokaa na kuendelea kusafisha sehem nyingine.

Alipomaliza akarud Kwny Kochi na kunilalia mapajani akachukua simu yake na kuingia tiktok, nikamwambia muweke sawa Kwanza Mtoto ndo uendelee na hizo tiktok zako.

Kweli kainuka na Kwenda nje na kuchukua Lile dekio na kuja nalo pale, kamvua Mtoto suruali kaiweka pembeni na kumfuta mavi na dekio. Kisha kumrudisha pale pale alipokaa.Nguo yenye mavi na dekio vyote vikapelekwa nje.

Aliporudi kapitiliza Moja kwa Moja jikoni kunawa Kisha karudi kunilalia mapajani Kwny sofa akiendelea na ticktok yake, nikamuuliza "ndo ushamsafisha Mtoto tayar au bado?". Akasema "kwani uoni, kwani unaona bado ana mavi? "

Nikamuuliza,
"Yaan umeshindwa hata kumsuuza mtoto na maji, safi Zaid ya kumfuta na Hilo dekio lako ?"

Akanijibu,
"Jamani,kwani kumleta mwanao kwangu imekua nongwa ivo? nifanye yote Ayo kwani utalala nae apa uyu mwanao? Usafi Zaid Si watamfanyia uko nyumbani ukienda? Au leo unalala Hapa?"

Nikamwambia,
"Haijalishi nalala au silali, Afu huoni ata aibu Mtoto ushamfuta mavi na dekio chafu la sakafu, bado unamwacha akalie tiles za baridi chini na matako matupu kweli"

Akajibu,
"Kha! Una KISIRANI wewe, mbona mshari Sana?, Mi nmeshakwambia Sina khanga chafu za kushindia, zote nilizonazo Ni Safi na za kuogea na nmeshaziweka kabatini. Wee Kama huelewi Basi bhana" akaendelea na tiktok yake.

Kiukweli nilijiskia vibaya sana,
Nikamwambia ainuke nikamsafishe mwanangu mwnyw, kweli nmeinuka nmempeleka chooni nmemsafisha vzur na maji safi, nmemfuta na shati langu kabaki mkavu na nmeaga na nmetoka nje nielekee kwangu.

Anakuja mbio na kuniulizia vp umesahau,ujaacha ela ya kula ya kesho, nmempa elfu 10 anashukuru na kumbusu mwanangu shavuni kinafiki na kumwabia "bye bye" wakati hata kamasi lenyewe kagoma kumfuta puani.

Kiukweli nmetoka pale namuwazia mengi Sana uyu mwanamke ana roho mbaya ya namna gani, hata Kama huenda anamchukia mke wangu, ila sio kwa wanangu niliowazaa Mimi.

Amenifanya niwaze mengi Sana ambayo nilikua siwazii kabisa kua endapo mke wangu imetokea tumetengana au kafariki dunia, ndo nmemuoa mamaj na nmemkabidhi wanangu awalee, Sijui watakua na Hali gani

Nawasilisha
MSTARI UNAOTENGANISHA SHETANI NA MWANAMKE,NI MWEMBAMBA SANA.
 
Na wewe Huna akili kabisa unaonekana popoma.unaendaje na mtoto kwa mchepuko wako unamfundisha nini huyo mtoto akiwa mtu mzima?Shenfield kabisa ungekuwa karibu ningekutia konzi
 
Mam J yupo kimaslahi na wewe upo kimbunye zaidi kwake. Hutakaa upate mapenzi yake siku ukishindwa kumpa hela atakutimua kama mbwa
 
Anakuja mbio na kuniulizia vp umesahau,ujaacha ela ya kula ya kesho, nmempa elfu 10 anashukuru na kumbusu mwanangu shavuni kinafiki na kumwabia "bye bye" wakati hata kamasi lenyewe kagoma kumfuta puani.
😅😅😅
 
Mkuu Leo nagundua kuwa huyu manzi kakuloga,Yani ingekuwa mm Kwa matendo hayo tu aliyomfanyia mtoto hata kama siyo wangu basi ningeshang'oa mtu jino.Najiulizaga sana mnatoa wapi mademu dizaini hii na kwann Bado mpo nao?pussy si hizihizi Au zingine zina tivii ndani?
 
Tatizo mnashauri Wakati jamaaa mwenyewe nae inaonekana ana shida zake tu kichwani halafu pia mazoea ya kijinga, Linapokuja Suala la familia mwanaume lazima uwe na akili nzuri na maamuzi ya busara, yaani kweli nitoke dispensary na mwanangu badala ya kwenda nyumbani niende kwa mchepuko ili iweje kwanza kama siyo kuchoreshana na mambo ya kipuuzi, lazima kuwepo na mipaka kati ya familia, kazi, mapenz au huyo mchepuko, na ujue huyo ni mwanao si wa mama J kwangu Mimi ulipata ulichostahili
 
Wakuu,

Mimi Ni baba wa watoto 5 na mtoto wangu wa mwisho wa miaka 2 kasoro anaumwa na Yuko Kwny dozi ya sindano, anatakiwa kupelekwa dispensary kuchomwa kila saa 12 jioni.

Sasa Leo nilishinda nyumban Siku nzima, ilipofika saa 1 kasoro usiku nikawauliza vp mbona mtoto leo hajapelekwa kuchomwa sindano? KILA mtu nyumbani akawa anamtupia mpira mwenzie. Nikaona isiwe kesi, ntampeleka mwenyewe.

Nmejiandaa,nmempakia na nmeenda nae dispensary na keshachomwa sindano, nikaona Ni mapema Sana kurud nyumbani, ukzingatia nilishinda home Siku nzima (sio kawaida yangu).ikabd niende kwa Mchepuko wangu kupoteza poteza muda Kisha baadae ndo ntarud nyumban.

Nmefika kwake kanipokea kwa furaha sn na bashasha zote na kunambia leo nmeamua kumsapraizi maana tangu azaliwe uyu mwanangu hajawai kumuona laivu Zaid ya kuona picha zake tu kwenye simu yangu. Basi tukacheka na kufurahi wote.

Akaniuliza aniandalie nn mpenz wake, Nikamwambia chochote kile Cha Moto Moto, akasema Basi ngoja aniandalie supu ya ng'ombe, Kuna nyama mbichi Kwny friji ilibaki, Nikamwambia itakua vzur Sana.

Sasa akiwa kaenda jikoni kuandaa supu, nami nikawa sebleni naangalia tv, mwanangu akaenda Kwny showcase ya tv kachukua mdoli wa dubu kaanza kuuchezea, kamkuta anachezea mdoli na Kwenda kuchumban kwake kamletea midoli mingine miwili ili achezee Zaid, Kisha karud zake jikon kuendelea kuandaa supu.

Supu imeiva kaniletea mezani na nyingine kdg kampakulia Mtoto ili anywe, anampozea Kwny kijiko na kumuwekea mdomoni, nikamwona mwanangu kama ana mafua mengi Sana puani.

Nikamwambia, " kwanza mfute mafua Ayo mtoto,unampaje supu na unaona kabisa ana makamasi kibao puani?" Akasema "POA". Kainuka na Kwenda nje kibarazani Kisha karudi na dekio mkononi, analigeuza geuza na kulichambua ili kupata sehemu Safi ili amfutie mtoto mafua.

Nikamuuliza,
"Are you serious unataka kumfutia mwanangu mafua na hilo dekio lako la kudekia humu ndani? Huna kitenge au khanga ya kumfutia Mtoto mafua?"

Akanijibu
"vitenge nilivyonavyo vyote ni vya kutokea, khanga nilizonazo zote za kuogea, labda kamnunulie leso tumfute, ulitakiwa utembee na leso mwanao uyu ana mafua makali Sana"

Nikamuuliza,
"Kwaiyo mwanangu ana mafua makali Sana mpk unaona kinyaa kumfutia na iyo khanga yako ulojifunga sio? "

Akasema
"Ayo umesema wewe, ila Hii kanga au zilizokabatini kwnagu siwezi kumfutia mwanao, zote Ni safi, lete buku tukanunue leso ya Mtoto, Kama utaki Basi, atakunywa supu na mafua yake"

Nikamwambia,
"Isiwe kesi, ntamfuta TU na shati langu" kweli nmeenda chumbani nilikovulia shati, nmerud nalo na nmemfuta mafua na mtoto kaendelea kunywa supu na stori nyngn zikaendelea.

Kamaliza kunywa supu, vyombo vimetolewa, mamaJ kaenda jikoni kupeleka vyombo vichafu Kisha kaja na ndoo ya maji yenye sabuni kusafisha mezani na chini alipokua analia Mtoto.

Akiwa anafuta chini ikabd amwinue Mtoto Ili asafishe na pale alikokaa Mtoto, ndo kustuka kumbe Mtoto kanya. Akanambia "mwanao kajinyea, kumbe ukumfunga pampasi?". Nikamjibu "nilimkurupua TU baada kua kila mtu home anajishauri kumpeleka Kwny sindano". Akaitikia Kisha kumrudishia alikokaa na kuendelea kusafisha sehem nyingine.

Alipomaliza akarud Kwny Kochi na kunilalia mapajani akachukua simu yake na kuingia tiktok, nikamwambia muweke sawa Kwanza Mtoto ndo uendelee na hizo tiktok zako.

Kweli kainuka na Kwenda nje na kuchukua Lile dekio na kuja nalo pale, kamvua Mtoto suruali kaiweka pembeni na kumfuta mavi na dekio. Kisha kumrudisha pale pale alipokaa.Nguo yenye mavi na dekio vyote vikapelekwa nje.

Aliporudi kapitiliza Moja kwa Moja jikoni kunawa Kisha karudi kunilalia mapajani Kwny sofa akiendelea na ticktok yake, nikamuuliza "ndo ushamsafisha Mtoto tayar au bado?". Akasema "kwani uoni, kwani unaona bado ana mavi? "

Nikamuuliza,
"Yaan umeshindwa hata kumsuuza mtoto na maji, safi Zaid ya kumfuta na Hilo dekio lako ?"

Akanijibu,
"Jamani,kwani kumleta mwanao kwangu imekua nongwa ivo? nifanye yote Ayo kwani utalala nae apa uyu mwanao? Usafi Zaid Si watamfanyia uko nyumbani ukienda? Au leo unalala Hapa?"

Nikamwambia,
"Haijalishi nalala au silali, Afu huoni ata aibu Mtoto ushamfuta mavi na dekio chafu la sakafu, bado unamwacha akalie tiles za baridi chini na matako matupu kweli"

Akajibu,
"Kha! Una KISIRANI wewe, mbona mshari Sana?, Mi nmeshakwambia Sina khanga chafu za kushindia, zote nilizonazo Ni Safi na za kuogea na nmeshaziweka kabatini. Wee Kama huelewi Basi bhana" akaendelea na tiktok yake.

Kiukweli nilijiskia vibaya sana,
Nikamwambia ainuke nikamsafishe mwanangu mwnyw, kweli nmeinuka nmempeleka chooni nmemsafisha vzur na maji safi, nmemfuta na shati langu kabaki mkavu na nmeaga na nmetoka nje nielekee kwangu.

Anakuja mbio na kuniulizia vp umesahau,ujaacha ela ya kula ya kesho, nmempa elfu 10 anashukuru na kumbusu mwanangu shavuni kinafiki na kumwabia "bye bye" wakati hata kamasi lenyewe kagoma kumfuta puani.

Kiukweli nmetoka pale namuwazia mengi Sana uyu mwanamke ana roho mbaya ya namna gani, hata Kama huenda anamchukia mke wangu, ila sio kwa wanangu niliowazaa Mimi.

Amenifanya niwaze mengi Sana ambayo nilikua siwazii kabisa kua endapo mke wangu imetokea tumetengana au kafariki dunia, ndo nmemuoa mamaj na nmemkabidhi wanangu awalee, Sijui watakua na Hali gani

Nawasilisha
Babuu DeepPond....ila unapata shida sana mwanaume mwenzangu....unajua wakati naisoma thread yako najaribu kuwaza ni lini utamwacha MamaJ mkuu....maana utafanyiwa hivi na vile but still you hang on bus door though its full. Ila dah dekio na mwili wa mtoto kweli 🤣🤣🤣 you a have heart man
 
Mkuu kuna hao ambao hawajampeleka mtoto hospital toka asbh nao wana roho mbaya kishenzi.

Mchepuko anakupenda ww na pesa zako sio familia yako.
 
Back
Top Bottom