athumanishapu
Member
- Oct 25, 2017
- 71
- 51
Mfano , nimenunua BATI rangi ya kijani JE ni rangi gani nipake ukutani ili iendane na rangi ya bati?
Elimu yako tafadhaliMfano , nimenunua BATI rangi ya kijani JE ni rangi gani nipake ukutani ili iendane na rangi ya bati ?
Tazama/soma hii chati itasaidia kutoa muongozoMfano , nimenunua BATI rangi ya kijani JE ni rangi gani nipake ukutani ili iendane na rangi ya bati?