A swahili Kid
Member
- Jan 25, 2013
- 39
- 38
Kuna utofauti mkubwa wa kuchambua ,kutumika kupenyeza ajenda za sehemu Fulani au timu fulani,kutumika muamvuli wa uchambuzi ku attack watu fulani na mwengine yanayoweza kufanana na hayo na kuusimulia mpira
Tanzania baada ya ujio wa Azam Media na kujitolea 100% kutangaza na kuonesha ligi zetu za ndani na kufanya mpira kuwa biashara na kuwa content inayouzika sana
Kumeibuka namba kubwa ya watanzania wanaojitambulisha Kama wachambuzi wa mpira wakiwa na mlengo tofauti tofauti ikiwemo kujitengenezea fursa,kitu kibaya wengi wao wanashindwa hata kutofautisha kuchambua mpira na kusimulia mpira.
Mfano,ukiangalia Supersport utamsikia mchambuzi anasema "Odegaard today have completely destroyed Spurs because he opted to receive a ball behind Spurs Defensive Midfielder.
And act right quickly before centre backs stay in a good shape,Arteta saw the distance between Spurs' centre def Midfielder and their Centre back that's why gave that role Odegaard".
Huyu ameuchambua mpira, kiasi kwamba sisi tusio uelewa tumepata at least picha hata kwa udogo ya kilichotokea
Ila wa Kibongo sasa utamsikia "Chama alikuwa kwenye ubora wake, John Bocco kawazima midomo wanaombeza😀".
"Leo Mayele amethibitisha kuwa yeye ndio anayejua kuzifumania nyavu za wapinzani na ndio mchezaji hatari kuliko wote"...Kweli huku ni kuchambua mpira au kusimulia kama tunavyosimuliana kwenye vibanda umiza??
List yangu ifuatayo ni watu pekee wenye uhalali wa kujitanabaisha kuwa ni wachambuzi wa mpira Tanzania
(1)George Ambagile (Wasafi FM)...Jamaa anajua mbinu, ufundi na vitu mbali mbali vya mpira na mara zote huvitumia hivyo kuonesha ubora na udhaifu wa wapinzani.
(2)Gharib Mzinga (Azam Media)....Kilwa finest,ana kila kitu kwenye kichwa chake 'data na detail' na anazitumia kuchanga vyema karata za chambuzi zake.
(3)Amri Kiemba (Clouds Media)....Rasta man,anauongelea mpira katika muktadha wa kiuchezaji zaidi na sio nadharia,kwake ni rahisi kukwambia hili kosa limetokana na uchovu au kutokuweka fikra uwanjani
Sio wote ambao sijawataja kuwa hawajui totally Ila Kuna ambao chambuzi zao zimepitwa na nyakati Kama Shafii Dauda,Edo Kumwembe n.k.
Pia ambao chambuzi zao zipo kisiasa zaidi na sio kimpira Kama Far han,Jemedari Said n.k
Na mwisho Kuna Hawa ambao wao wanabeba ajenda za watu Fulani kwenye uchambuzi wao Kina George Job,Maulid Kitenge,James Tupa Tupa n.k
Special Appreciation:
Kuna group moja la michezo linaitwa 'DOMINIC SALAMBA SPORTS ARENA' sijui Kama bado lipo au vipi 2019 mule nilikutana na wamba Kama Nazareth Upete,Hussein Machano Renegade na Beki Kisiki kwa ujumla niliwakubali sana
Vipi maoni yenu nyinyi wanajamvi??Jamesmswahili@gmail.com