blackertheberry
New Member
- Jun 7, 2021
- 4
- 6
Nimeona DSE wana mfumo wa kuuza na kununua hisa online. Huwa natamani sana kuingia kwenye huu uwekezaji maana naweza kuweka pesa zangu ndogondogo huko badala ya kuzitumia ovyoovyo. Siwezi kwenda kwa broker kununua hisa ya elfu kumi. Online inakuwa rahisi zaidi. Je, kuna mtu anafanya hii au alishawahi kujaribu? Ni salama? Maana nchi yetu na technology vinachengana sana.