Majibu ya kukata tamaa, jibu hoja, bora hata ungesema kuwa suala hili lipo polisi na tukae kimyaPeleka kule kwenye mambo ya dini.. phuu
acha kuendekeza udini na chuki
mkuu, fanya kazi jibidiishe, acha hizi habari za udini hazitusaidii
mkuu.
Goodrich wewe ni mtu hatari sana. Umezaliwa juzi tu, unakumbuka msikiti wa mwembechai, wangapi waliuawa wakati ule, acha kuropoka.
chuki ipi kwani waislamu hawatuchomea makanisa unachobisha ni nn? Usiwe mpofu wa dini sheikh Francis Jr ... Jitofautishe na ponda ambae hajaenda shule hata kidogo yule tunajua kuwa kukosa kwake ilmu ndiko kunamfanya kuwa vile alivyo
Askofu Remote aliyeanza uchokozi nani kama si yule mtoto aliyekojolea kitabu cha mwenziwe, usiwe bias kwa kuwa aliyefanya vile ni mkiristu mwenzio.
watashindana nawe lakini hawatashinda. YESU ni njia ya amani.
Ni wazi kuwa mambo yanayofanywa na waislamu ingekuwa ni dini nyingine wangekuwa majeruhi, marehemu na mahabusu watu wengi sana.
Tumeshuhudia polisi wakivamia makanisa na kukamata watu, kupiga watu, nk lakini sio kwa Waislamu.
Kama ambavyo vyombo vya dola vinaipendelea CCM, ndivyo hivyo vinavyowapendelea Waislamu.
Kanisa mpaka linachomwa moto ! Sijui ikiwa kwa upande wa pili kama patakalika.
Imekuwa ni dhahiri na ni wazi kabisa kuwa sasa Waislamu wanafanya wanalotaka tena kwa kujiamini kabisa.
Ni wazi kuwa mambo yanayofanywa na waislamu ingekuwa ni dini nyingine wangekuwa majeruhi, marehemu na mahabusu watu wengi sana.
Tumeshuhudia polisi wakivamia makanisa na kukamata watu, kupiga watu, nk lakini sio kwa Waislamu.
Kama ambavyo vyombo vya dola vinaipendelea CCM, ndivyo hivyo vinavyowapendelea Waislamu.
Kanisa mpaka linachomwa moto ! Sijui ikiwa kwa upande wa pili kama patakalika.
Ni wazi kuwa mambo yanayofanywa na waislamu ingekuwa ni dini nyingine wangekuwa majeruhi, marehemu na mahabusu watu wengi sana.
Tumeshuhudia polisi wakivamia makanisa na kukamata watu, kupiga watu, nk lakini sio kwa Waislamu.
Kama ambavyo vyombo vya dola vinaipendelea CCM, ndivyo hivyo vinavyowapendelea Waislamu.
Kanisa mpaka linachomwa moto ! Sijui ikiwa kwa upande wa pili kama patakalika.
Goodrich wewe ni mtu hatari sana. Umezaliwa juzi tu, unakumbuka msikiti wa mwembechai, wangapi waliuawa wakati ule, acha kuropoka.
Tatizo jingine ni kuwa nyinyi ni WAGUMU sana kuelewa !
Labda mpaka tukuwekee video uone watu hawana silaha wanauawa, lakini nyinyi mpaka mnachoma makanisa na bado mpo kwenye mitandao mnaendeleza malumbano wkt ukweli upo wazi!
Lakini kuna watu hawataki kukubali. Kuna watu wana haki ya kujichukulia sheria mkononi. Tumeona Uamsho znz, kugomea sensa, kuchoma makanisa, nkmaana ya ubaguzi kama ilivoainishwa na katiba ya jamhuru wa muungano Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii neno "kubagua" maana yake ni kutimiza haja, haki au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao, kabila, pahala walipotokea, maoni yao ya kisiasa, rangi, dini, jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti au wanapewa fursa au faida iliyoko nje ya masharti au sifa za lazima, isipokuwa kwamba neno "kubagua" halitafafanuliwa kwa namna ambayo itaizuia Serikali kuchukua hatua za makusudi zenye lengo la kurekebisha matatizo katika jamii. ni wazi kwamba kundi fulani la watu, wanabaguliwa huhitaji kwenda shule kuliona hili