Kuna Upendeleo wa wazi kwa Waislamu Tanzania!

Goodrich

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
2,091
1,177
Imekuwa ni dhahiri na ni wazi kabisa kuwa sasa Waislamu wanafanya wanalotaka tena kwa kujiamini kabisa.

Hili limeonekana kuanzia harakati za Uamsho znz, Kugomea sensa, kuchoma makanisa nk.

Ni wazi kuwa mambo yanayofanywa na waislamu ingekuwa ni dini nyingine hatua kali zingechukuliwa.

Tumeshuhudia polisi wakivamia makanisa na kukamata watu, kupiga watu, nk lakini sio kwa Waislamu.

Kama ambavyo vyombo vya dola vinaipendelea CCM, ndivyo hivyo vinavyowapendelea Waislamu.

Kanisa mpaka linachomwa moto ! Sijui ikiwa kwa upande wa pili kama patakalika.

View attachment 68265
 
ni ukweli mtupu bana hii nchi inaendeshwa kwa taratibu sio watu kuchukuwa hatua watakavyo.ingekuwa wakristo wameenda kwenye nyumba zao za ibada na kufanya vurugu c ingekuwa vita.wanajiamini coz system haina neno kwao walianza zanzibar,tunduru then mbagala hakuna hatua kali zilizochukuliwa.ni vyema hatua kali zikachukuliwa kwa wahusika
 
Sera za Mkweree toka meingia madarakani 2005 ni kuwaweka mbele waislam kwa kila linalowezekana na hilo amelidhihilisha katika appointments zake nyingi alizofanya toka alipotawazwa; sina haja ya kuhakikisha hilo kwani liko wazi wala yeye hana aibu nalo. Sasa kama nyie msiokuwa waislam mnategemea kuwa huyu mkweree atawaadhibu hao jamaa zake kwa uhalifu wanaoufanya, mtangoja mpaka ahela kwa yeye kuwachukulia hatua stahiki!! Mnatakiwa mjilinde nyie wenyewe dhidi ya hawa maadui zenu kwa jinsi mnavyojua nyie wenyewe!!!!!
 
Huna jipya mkuu unataka kuendeleza chuki.

Nimetafakari mchango wako.
Nadhani hujui kuwa mbali ya Uamsho, maandamano ya mara kwa mara, kugomea Sensa nk lakini pia kuna kila dalili kuwa huo sio mwisho.
Nadhani sichochei chuki bali kuitahadharisha serikali kuchukua hatua muafaka bila upendeleo.
 
Wakristo kuna wakati watachoka, maana makanisa yalichomwa kule zanzibar , bagamoyo, tunduru na sasa mbagala, lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya hawa watu. ivi umewahi kusikia wakristo wamechoma msikiti mahali fulani? .
 
Unazingua wewe, sisi hatuna tabia ya ulalamishi. Waachie wenye fani yao.

Ni kweli, waache waliozoea kulalamika waendelee, sisi tutayajenga makanisa upya tena tunaweza kulivunja na kujenga jipya wao waendelee kujionyesha kuwa ni wadhaifu. Waache waendelee kugombea vitabu muda wa kazi. Hiyo inaonyesha ni jinsi gani hawana kazi, wanaandamana muda wa kazi? Waache waendelee kuajiriwa na waarabu kama madereva na ma-house boy wa waarabu na wahindi. Waache waendelee kutokupenda kukaa kwa amani. Unajua mtu asiye na upeo huwa hivyo sasa hakuna haja ya kuhangaika nao. Tutajenga makanisa yetu. I pledge to my fellow christians tusihangaike na hawa jamaa bali tuungane kusaidia kueneza injili ya Yesu Kristo walimwengu waitambue na haya yote yataisha.

Waache wafu wazike wafu wao!
 
Imekuwa ni dhahiri na ni wazi kabisa kuwa sasa Waislamu wanafanya wanalotaka tena kwa kujiamini kabisa.

Ni wazi kuwa mambo yanayofanywa na waislamu ingekuwa ni dini nyingine wangekuwa majeruhi, marehemu na mahabusu watu wengi sana.

Tumeshuhudia polisi wakivamia makanisa na kukamata watu, kupiga watu, nk lakini sio kwa Waislamu.

Kama ambavyo vyombo vya dola vinaipendelea CCM, ndivyo hivyo vinavyowapendelea Waislamu.

Kanisa mpaka linachomwa moto ! Sijui ikiwa kwa upande wa pili kama patakalika.
acha kuendekeza udini na chuki mkuu, fanya kazi jibidiishe, acha hizi habari za udini hazitusaidii mkuu.
 
ni kweli mkuu waislam wapo wengi zaidi ktk ajira za umma?wana vyuo vikuu vingi,hospitali za rufaa nyingi?
 
Huna jipya mkuu unataka kuendeleza chuki.

chuki ipi kwani waislamu hawatuchomea makanisa unachobisha ni nn? Usiwe mpofu wa dini sheikh Francis Jr ... Jitofautishe na ponda ambae hajaenda shule hata kidogo yule tunajua kuwa kukosa kwake ilmu ndiko kunamfanya kuwa vile alivyo
 
Last edited by a moderator:
acha kuendekeza udini na chuki mkuu, fanya kazi jibidiishe, acha hizi habari za udini hazitusaidii mkuu.

BCR mbona mtoa mada yupo sahihi... Tunatakiwa tupinge kwa nguvu zetu zote vitendo vya kigaidi watufanyiavyo hawa ndugu zetu to b honest kitendo kile kingekuwa kimefanywa na wakristo; unajua namna ambavyo wange'react
 
Last edited by a moderator:
Kama ni jino kwa jino, kwann na wao wasingechukua biblia na kuikojolea kama n kulipa kisasi? Kwann wachome makanisa? Kanisa Lina uhusiano gani kukojolea kitabu chao? Na wamedhibitishaje kama uyu do go anaendaga kanisani au si mpagani ? Kama ni kulipa kisasi Nao wangekojolea biblia na so kuchoma makanisa, huu ni uwendawazimu, natangaza rasmi kuwachukia waislam we ye misimamo ya kijinga jinga name wanaofikiria kwa kutumia Masab.uri
 
acha kuendekeza udini na chuki mkuu, fanya kazi jibidiishe, acha hizi habari za udini hazitusaidii mkuu.

Hata wakati naanzisha thread nilikuwa kazini.
Lakini aina ya kazi ninayofanya inaathiriwa sana na hizi vurugu zenu !
 
Back
Top Bottom