Kuna umuhimu wa kuwasiliana baada ya kuachana?

belie

JF-Expert Member
Sep 19, 2014
387
260
Habari zenu wapendwa, mimi najiulizaga sana hili swali? watu mmeshakaa kwenye mahusiano ikatokea mkakorofishana kila mtu akaendelea na maisha yake.

Je kuna umuhimu wa kuwasiliana tena?

Kama salam au hata maongezi ya hapa na pale.

Mimi kwa upande wangu naona kuwasiliana ni muhimu ili kuweza kujua wapi nilipokua nakosea nini nilitakiwa kufanya/kutofanya ili hata napopata mwingine nijirekebishe.

Embu tuambiane kidogo, especially wanaume mana nyinyi mkiachwa mnabadilisha hata namba za simu.

Nyie mnaonaje jamani ni sawa si sawa?

kama hukujua pale ulipokosea ulipokua nae unadhani utaweza akiwa ashaondoka??????? mawasiliano yanategemea mliachana kwa style gani kama kutukanana sidhani kama mtawasiliana tena kama kwa heri basi mwaweza endelea ila mim binafsi siwasiliani na yeyote yule nilieachana nae sion kama inaleta maana kwa mwenza mpya!!
 
mkuu ukisikia una mwenza halafu ana mchepuko wake ambaye ni x wake ujue chanzo ni kama hicho!!
watu mmeachana inamaana kila mmoja kamwona mwenzie haendani nae ndo maana kamwacha! sasa mnapowasiliana mnakumbushana yale mazuri mliyofanya mojawapo ni kugegedana!!!
unafikiri usaliti hautakuwepo hapo!! kama mmeachana kila mtu ale 50% zake hakuna kujuana!!!!
 
sioni haja na mimi namshangaa sana mtu anaenichokonoa wakati tushaachana

inaboa
 
Labda kama mna mtoto ambaye hamtaki akose malezi ya wazazi wote, ni vizuri kuwa in touch.
 
Habari zenu wapendwa, mimi najiulizaga sana hili swali? watu mmeshakaa kwenye mahusiano ikatokea mkakorofishana kila mtu akaendelea na maisha yake.

Je kuna umuhimu wa kuwasiliana tena?Kama salam au hata maongezi ya hapa na pale.Mimi kwa upande wangu naona kuwasiliana ni muhimu ili kuweza kujua wapi nilipokua nakosea nini nilitakiwa kufanya/kutofanya ili hata napopata mwingine nijirekebishe.Embu tuambiane kidogo, especially wanaume mana nyinyi mkiachwa mnabadilisha hata namba za simu.Nyie mnaonaje jamani ni sawa si sawa?
Depends on the feelings you or your Ex has: and the matter itself.Some couples get separated without their will. Sometimes separation is due to Childish decision. normally a grown couple will find a way to remain in touch.
 
Kwa mwanamke sawa unaweza jipendekeza kwa mwanaume aliekuacha!
but for a man is strickly prohibited to keep on comunicating, if you have decided to walk away from a girl,walk away and mean it,women like men who mean what they say,and say what they mean!
 
Depends on the feelings you or your Ex has: and the matter itself.Some couples get separated without their will. Sometimes separation is due to Childish decision. normally a grown couple will find a way to remain in touch.

Mkishakuwa in touch lazima kuna siku mtakazana. Mi kwangu mkishatemana no mawasiliano yoyote period.
 
Natanguliza samahani ikiwa nitamkwaza mtu. kwangu mimi atakuwa hana nafasi tena, ila kusema ukweli Me ndio wanatabia ya kufuatafuata hasa wakigundua kwamba wakosaji ni wao, yaani inakuwa kero ni shiida, atajidai kakumiss anataka namba ya simu, atajifanya yeye ndio mwema kuliko wote anakuhurumia kuliko mzazi wako wa kike, hata uuuchune vp. akizidi mpe jibu moja tu "nakuona kama baba yangu mzazi" yaani harudiii tena akirudia huyo atakuwa ana file mirembe.
 
Back
Top Bottom