Kuna umuhimu kitengo cha polisi kuwa na Idara ya Usalama kinachojihusisha na upelelezi/ Ukachero

Kazi gani wewe?
Ungekuwa na hiyo kazi basi ungejua kitengo Cha usalama ndani ya jeshi la polisi ni Moja ya kitengo kilicho jitosheleza kabisa.

Polisi Wana:
1)Upelelezi(CID)-Upelelezi
2)Intelligence-Ushushushu
3)GD
4) Traffic
5) Bandari
6)Marine
7)Utalii
8) FFU
8)Ant Robbery Unit
ongezea na STPU
kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo
 
Kazi gani wewe?
Ungekuwa na hiyo kazi basi ungejua kitengo Cha usalama ndani ya jeshi la polisi ni Moja ya kitengo kilicho jitosheleza kabisa.

Polisi Wana:
1)Upelelezi(CID)-Upelelezi
2)Intelligence-Ushushushu
3)GD
4) Traffic
5) Bandari
6)Marine
7)Utalii
8) FFU
8)Ant Robbery Unit
Ant terrorist
 
Sasa mbona wakitaka taarifa Ni malungu tu wajitahidi ukusanyaji taarifa waache kupiga watuhumiwa ila kazi wanafabnya hongera kwao...
 
Kazi gani wewe?
Ungekuwa na hiyo kazi basi ungejua kitengo Cha usalama ndani ya jeshi la polisi ni Moja ya kitengo kilicho jitosheleza kabisa.

Polisi Wana:
1)Upelelezi(CID)-Upelelezi
2)Intelligence-Ushushushu
3)GD
4) Traffic
5) Bandari
6)Marine
7)Utalii
8) FFU
8)Ant Robbery Unit
Mbwembwe nyingi,
 
Ongezea na CRT
 
Depo ndio nini?
Ila ni aibu kwa member wa jamii forum kutojua kitengo Cha usalama ndani ya jeshi la polisi kipo.

Ni aibu, ni fedheha
Eti anakuja na issue ya mapanga
Bora hata ungeuliza wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe kule burundi dawa na matibabu walikuwa wanapata kutokea mpaka Gani?

N.B siwapendi polisi na upolisi ila mtu mjinga kama huyu ni aibu kwa jamii yake

KENYA: Polisi wanawashikilia Abdirahman Shaffi Mkwatili(25) na Sadam Jafari Kitia(30) waliokiri walikuwa wakielekea kujiunga na #AlShabaab, baada ya kuwakamata Julai 12, 2023 wakiwa na daftari lililoandikwa kwa Kiswahili ambalo linadaiwa walikuwa wakitumia kuwaongoza kutoka #Tanzania hadi Jilib, #Somalia

Kukamatwa kwao kumekuja Wiki 2 baada ya Watanzania wengine watatu, Abdul Saif Salimu, Zuberi Ngare Mtondoo na Seif Abdalla Juma, waliodaiwa kuwa katika harakati za kujiunga na kundi hilo kukamatwa Nchini Kenya kufuatia taarifa za Wananchi

Soma Watanzania wakamatwa Kenya wakiwa njiani kwenda kujiunga na Al Shabaab

#JamiiForums
Soma hapo
 
Sasa hii ni shida ya police?
Pasipoti wanapewa na nani?
Mpakani wanaruhusiwa kutoka na nani?
Wanakaguliwa na nani?
Hicho kitengo hawana intelijensia Yao au wanashindwa kushare na vyombo vingine?

Kaka yake Shetani nimekuvua vyeo vyote vya kibaharia
 
Back
Top Bottom