Kuna umuhimu kitengo cha polisi kuwa na Idara ya Usalama kinachojihusisha na upelelezi/ Ukachero

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,744
Kuna makala moja nilipitia BBC nikaona kiongozi wa kundi la kigaidi uganda alipokimbia kwao na kuja Tz kuishi mpaka serikali ya uganda ilipowashtua Tz ndio wakashtuka.

Mnakumbuka kipindi cha kibiti na mkuranga na ili nalo mpaka ubalozi wa marekani na watu binafsi ila mpaka mda wote kulikuwa na kambi za kutosha wakiwa wemejiimalisha.

Kuna umuhimu kitengo cha polisi kuwa na idara ya usalama wa ndani kinacho deal na ukachero na upelelezi tu kupata rekodi.kupunguza majukumu ambayo polisi anakazi zote wakati mmoja.

Ndio maana wakikukamata wao ni rungu tu ndio maana watu wanashinda kesi bila kuwa na vielelezo vya kutosha.
 
Unajua kazi tunazozifanya mpaka kuona mapungufu hayo
Kazi gani wewe?
Ungekuwa na hiyo kazi basi ungejua kitengo Cha usalama ndani ya jeshi la polisi ni Moja ya kitengo kilicho jitosheleza kabisa.

Polisi Wana:
1)Upelelezi(CID)-Upelelezi
2)Intelligence-Ushushushu
3)GD
4) Traffic
5) Bandari
6)Marine
7)Utalii
8) FFU
8)Ant Robbery Unit
 
Kazi gani wewe?
Ungekuwa na hiyo kazi basi ungejua kitengo Cha usalama ndani ya jeshi la polisi ni Moja ya kitengo kilicho jitosheleza kabisa.

Polisi Wana:
1)Upelelezi(CID)
2)Intelligence
3)GD
4) Traffic
5) Bandari
6)Marine
7)Utalii
Embu rudi kwanza kuna mengine ukiambiwa utabaki domo wazi unapotelea taka chafu kubwa
 
Kazi gani wewe?
Ungekuwa na hiyo kazi basi ungejua kitengo Cha usalama ndani ya jeshi la polisi ni Moja ya kitengo kilicho jitosheleza kabisa.

Polisi Wana:
1)Upelelezi(CID)-Upelelezi
2)Intelligence-Ushushushu
3)GD
4) Traffic
5) Bandari
6)Marine
7)Utalii
8) FFU
8)Ant Robbery Unit
Mh! Bandarini wapo kweli
 
Kitu kidogo kama hicho hujui
Ndio utajua hayo makubwa
Makubwa gani unadhani utakayo jua wewe
Hebu nipishe

we unajua kipindi cha mauaji ya kimbali yalipita makontena ya mapanga kwenda rwanda .ulifahamu nini na yaliweza kuzuiliwa hiyo ni sample.
ndio maana kaa kimya tu
 
Mkuu wapo na hicho ni kitengo kingine kabisa achana na wale polisi wa bandari ambao ni auxiliary police

chini ya kapuni unajua idara ya polisi mpaka kushtuliwa kuwa kibiti kuna ugaidi na wenyewe walikili baada kupata ripoti ubalozi USA.
ukibisha basi unalako
 
we unajua kipindi cha mauaji ya kimbali yalipita makontena ya mapanga kwenda rwanda .ulifahamu nini na yaliweza kuzuiliwa hiyo ni sample.
ndio maana kaa kimya tu
Si umeona hili ngese
Mbona huoji Siraha za kabila wakati akiwa muasi zilipita wapi?

Vikosi vya Waasi Kongo Mashariki wanapata siraha wapi?

Wakati wa vita vya Msumbiji siraha zao walipata wapi?

Au mhutu nini wewe?

Unadhani intelijensia ipo kwa one department au kitengo katika nchi hii.

Mjinga wa mwisho
 
ushawai kutoka nchi za watu !
 
Unafahamu kitengo Cha intelijensia ya polisi?

Unajua ni Moja ya chombo Bora kwenye kukusanya taarifa za kiintelijensia hapa nchini?

Unafahamu ukubwa na majukumu yao?
Usiulize maswali wewe ndio utueleze kuhusu hicho kitengo Cha intelejensia ya polis mdau kaeleza matukio hayo mawili kuwa ni ushahidi wa udhaifu wa ukachelo wetu
 
chini ya kapuni unajua idara ya polisi mpaka kushtuliwa kuwa kibiti kuna ugaidi na wenyewe walikili baada kupata ripoti ubalozi USA.
ukibisha basi unalako
Kwanza official name ni jeshi la polisi Tanzania kuwa na adabu.

Unafahamu yaliyotokea Handeni na yalidhibitiwa na nani?

Elezea Vikundu na Vikindu kabla haujafika Kibiti Tena elezea kule Mbande ndio ulikuwa mwanzo wao.
 
Kazi gani wewe?
Ungekuwa na hiyo kazi basi ungejua kitengo Cha usalama ndani ya jeshi la polisi ni Moja ya kitengo kilicho jitosheleza kabisa.

Polisi Wana:
1)Upelelezi(CID)-Upelelezi
2)Intelligence-Ushushushu
3)GD
4) Traffic
5) Bandari
6)Marine
7)Utalii
8) FFU
8)Ant Robbery Unit
Wewe unaonekana pc depo mpya
 
Depo ndio nini?
Ila ni aibu kwa member wa jamii forum kutojua kitengo Cha usalama ndani ya jeshi la polisi kipo.

Ni aibu, ni fedheha
Eti anakuja na issue ya mapanga
Bora hata ungeuliza wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe kule burundi dawa na matibabu walikuwa wanapata kutokea mpaka Gani?

N.B siwapendi polisi na upolisi ila mtu mjinga kama huyu ni aibu kwa jamii yake
 
Usiulize maswali wewe ndio utueleze kuhusu hicho kitengo Cha intelejensia ya polis mdau kaeleza matukio hayo mawili kuwa ni ushahidi wa udhaifu wa ukachelo wetu
Kuna umuhimu kitengo cha polisi kuwa na idara ya usalama wa ndani kinacho deal na ukachero na upelelezi tu kupata rekodi.kupunguza majukumu ambayo polisi anakazi zote wakati mmoja.

Hii ndio original comment yake
Sasa mtu kama huyu utamsaidiaje
 
Back
Top Bottom