Kuna umuhimu gani kwa wamama watu wazima kutumia social networks?

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Aug 22, 2014
516
890
Wamama watu wazima (miaka 30 na kuendelea) kujiunga na social networks na kuanza kupost picha zisizokuwa na maana yoyote.

Kitu ambacho kinasikitisha zaidi wengi wao wana watoto.Wanaacha kulea watoto, wao ni kupiga picha tu siku nzima na kupost kwenye accounts zao.

Hivi kuna umuhimu gani wamama kama hawa kujiunga kwenye hii mitandao? Kwanini hamtaki kukubaliana na hali halisi kuwa wakati wenu umepita, muachie haya mambo watoto zenu na wadogo zenu?

Kaeni nyumbani mlee watoto zenu sio mnashinda kwenye mitandao. Umri umeenda, jifunzeni kuishi kuendana na umri wenu kama wamama watu wazima.
 
wamama watu wazima( miaka 30 na kuendelea) kujiunga na social networks na kuanza kupost picha zisizokuwa na maana yoyote. kitu ambacho kinasikitisha zaidi wengi wao wana watoto. wanaacha kulea watoto, wao ni kupiga picha tu siku nzima na kupost kwenye accounts zao! hivi kuna umuhimu gani wamama kama hawa kujiunga kwenye hii mitandao? kwanini hamtaki kukubaliana na hali halisi kuwa wakati wenu umepita, muachie haya mambo watoto zenu na wadogo zenu? kaeni nyumbani mlee watoto zenu sio mnashinda kwenye mitandao. umri umeenda, jifunzeni kuishi kuendana na umri wenu kama wamama watu wazima.
Miaka 30 bado wadogo kijana usiwazeeshe.
 
Duuuhh wewe nae au wamekutosa?

Social Media kwa ulimwengu huu wa digitali ni lugha. Huwezi kufanikiwa au kufanikisha mambo yako bila kujua lugha inayotumika katika jamii husika.

Kwa maana hiyo ni vizuri kama sio lazima kwa mtu makini na mwenye maono hawezi kupuuza social media vinginenyo atagota.
 
Back
Top Bottom