Ndugu naomba ujiridhishe na hiyo mistari aliyoisema ndivyo ilivyo kwenye kitabu?sasa " wema unatokea wapi " mkuu wakati " sumu ipo ndani yenu " "mmoja wa wachangiaji hapo amesema ...mwanamke akiwa hedhi " hupaswi kugusa chochote kile " ambacho amekitumia...means hata kama huwa unalala nae pamoja..itakubidi ulale chini au uhame room""......achilia mbali mapishi anayoyapika ..na vyombo avituavyo "" bado mavazi yko ambayo huwa anakuandalia ili uende kazini ....na nikaona na wewe ume mquote kwa na kuushukuru uchamubuzi "" wake " means na wew umekubali na kuitambua " athari mliyonayo...halafu this time wasema sio wote "" wengine kina nyie ni wema...""
hivi sijakuelewa vizuri...au wewe ndiye hujanielewa ...??.hahaa