JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,023
..hivi ni nani aliyewazuia CUF kupeleka hoja ya kufanyika kwa referendum? mimi nadhani haya manunguniko ya CUF dhidi ya muungano ni siasa tu.
..Hamad Rashid, ambaye ni kiongozi mkuu wa upinzani bungeni Dodoma, yuko huku bara na biashara yake ya vyuma chakavu. akirudi kwa washabiki wake Pemba anawajaza ujinga kwamba Muungano ni mbaya.