Kuna tubabu tutundu sana uwanjani

Huyu mzee jela inamuita, yeye anajiona mjanjaa!! heri Bishanga yeye anapenda wake za watu na waliotalikiwa!
 
Ukicheza mechi ya ugenini hauruhusu nyavu kutingishika.... Halafu hiyo sababu uliyonipa ya kibinafsi sana,

nina mpango wa kupeleka hoja binafsi ya ndoa ya mke mmoja waume wengi

Sisi wanaume tunaruhusiwa ! Niulize kwa nini ?
Sababu sisi hatuendagi pale clinic huku tunamung'unya miubuyu, miukwaju, minini !
 
Ukicheza mechi ya ugenini hauruhusu nyavu kutingishika.... Halafu hiyo sababu uliyonipa ya kibinafsi sana,

nina mpango wa kupeleka hoja binafsi ya ndoa ya mke mmoja waume wengi

Kataa/kubali uselfish hauhusiki hapa !
Hapa Judgement (not me) inayotuhukumu ni bayoloji zetu! Population statistcs nalo ni tatizo!
Hivi unaelewa accordin from world population data katika kila binadamu 10 waliopo world 7 ni She na 3 He, ndiyo 70 kwa 30 katika 100!
Kwanza unijibu kama hii details unaikubali thn nikupe moja la uzima.
 
Unaishi jimbo gani? Huku kwetu ruksa, ila umudu kuwatunza.
 
Sikubali hata moja......

Kataa/kubali uselfish hauhusiki hapa !
Hapa Judgement (not me) inayotuhukumu ni bayoloji zetu! Population statistcs nalo ni tatizo!
Hivi unaelewa accordin from world population data katika kila binadamu 10 waliopo world 7 ni She na 3 He, ndiyo 70 kwa 30 katika 100!
Kwanza unijibu kama hii details unaikubali thn nikupe moja la uzima.
 
Hahahahahahahahaha
kama vip weka picha hapa!
282768_461114073918039_1387816459_a.jpg
haka ni kale ka form three;
babu.jpg
kale ka lasaba ndo haka
 
It will either haka kaBabu kana mautundu flani ya mautamu extraordinary !
Iweje vijischana vimng'ang'ane ka'luba !
Anawavuaje makabati vigori Babu huyu!
 
Back
Top Bottom