Kuna nini NBC, hongera NMB na CRDB

Foundation

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,421
596
Siku chache zilizopita Serikali ilitoa agizo wafanyakazi wa serikali wawe wamelipwa mishahara mapema na ikatoa maagizo kwa watendaji wakuu wa Wizara na Halmashauri. Agizo hilo limetekelezwa na hiyo tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali wenye akaunti wamepata mshahara kabla ya tarehe 25 ya mwezi huu na wale wenye akaunti CRDB nao wamepata.

Lakini cha kushangaza Wale wenye akaunti NBC mpaka leo hawajapata mshahara. Kunani NBC? Pesa hizo mnazifanyia nini?

Nawasilisha
 
Mie nawafahamu zaidi ya watu 15 ambao mshahara wao unapitia NBC mpaka kufikia tarehe 25 walikuwa wameshapata
 
Back
Top Bottom