uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 6,029
- 11,340
Hadi maji ya kunywa wanasafiri nayoTimu zilizoendelea? Kwahiyo hata liver anasafiri na msosi?
Hadi maji ya kunywa wanasafiri nayoTimu zilizoendelea? Kwahiyo hata liver anasafiri na msosi?
Nadhani yale mambo ya kutoa hirizi uwanjani yametuharibiaTuna sifa mbaya ya ushirikina na hujuma kwa wageni
Timu zilizoendelea? Kwahiyo hata liver anasafiri na msosi?
Umejibu vzr kabisaMambo ya kawaida kwa timu zilizoendelea, vyakula vya wachezaji vinakuwa under control ya wataalamu wa lishe...
Sawa sawaKuna baadhi ya vyakula au vinywaji huwa wanasafiri navyo...
Pia huwa wana affiliations na hoteli kadha wa kadha ambazo washakubaliana kuhusu vyakula na vinywaji...
Kuna mkasa mmoja wa Kolo Toure alipokuwa Arsenal, alitumia vidonge lishe vya mkewe pasipo kujua vina chembechembe za kemikali zisizotakiwa michezoni, akafeli vipimo, na ikawa kesi kubwa tu ikidhaniwa anatumia madawa ya kuongeza nguvu...
Kolo Touré failed test after taking wife's diet pill – Arsène Wenger
The Manchester City defender's failed drugs test was a result of taking a diet pill, says his former manager Arsène Wengerwww.theguardian.com