Kuna nini kwenye soka la Tanzania, Mbona kila timu ya kigeni inakuja na Chakula chake?

Mim naona ni sawa tu kuja na vyakula vyao Nakumbuka 2009/10 kwenye Mechi ya United na Spurs OT Luis Nani na Patrice Evra walitapika uwanjani sababu kubwa ya kutapika kwao inasemekana walikula chakula ambayo hawajawah kula kabla ya mechi
 
Timu za Tanzania miaka ya nyuma huko zilipata kashikashi sana kwenye mechi za nje ya nchi.

Sasa na wao wqmeshtuka ndiyo matokeo ya hawa watu kuja na hotel zao,vyoo vyao n.k
 
Timu zilizoendelea? Kwahiyo hata liver anasafiri na msosi?

Kuna baadhi ya vyakula au vinywaji huwa wanasafiri navyo...

Pia huwa wana affiliations na hoteli kadha wa kadha ambazo washakubaliana kuhusu vyakula na vinywaji...

Kuna mkasa mmoja wa Kolo Toure alipokuwa Arsenal, alitumia vidonge lishe vya mkewe pasipo kujua vina chembechembe za kemikali zisizotakiwa michezoni, akafeli vipimo, na ikawa kesi kubwa tu ikidhaniwa anatumia madawa ya kuongeza nguvu...

Sawa sawa
 
Back
Top Bottom