Kuna nini kati ya Magufuli na Wasoviet?

Ni habari njema sana kwa nchi, wa Rusi kwa sasa wapo juu katika vifaa vya kusaga vya kijeshi.
Mfano wana defense system Inaitwa S- 400 ina uwezo wa kushambulia kitu chochote kuanzia size ya mpira wa miguu katika km 400, ndio mana mfano Turkey alivyo angusha ndege yao kesho yake walishusha pale Syria na ndio ukawa mwisho wa Turkey kurusha tena ndege mpaka juzi wameenda kuomba kukubali makosa.
Pia familiar ya ndege za Surkhoi hasa SU - 35 ni ya kisasa na nzuri zaidi in the market.
Pamoja na silaha ndogo ndogo nyingi pia nidhamu ya jeshi nadhani serikali imefanya good choice.
Iran kapewa defence system s-300 ya version ya previous mwezi uliopita ndio utakuwa mwisho wa kusikia wataenda kushambuliwa pale kwenye nyuklia zao
 
Kumbuka kuwa Russia kuna umafia huu wa kwetu cha mtoto. Hivyo polisi na jeshi la Russia linayo mengi sana ya muhimu kwetu. Russia wanapigana na ujambazi wa kiwango cha juu sana ambao hufanywa na wanajeshi wao waliopigana chechnya na sasa hivi wako mtaani hawana kazi. Russia wanapambana na magaidi ambao asilimia yao kubwa ni kutoka Chechnya na wale watu wa nchi zinazowazunguka.
Kiteknolojia Russia wapo vizuri na wanao msaada mkubwa kwetu.
 
Thread kama hizi ingekuwa vyema kama zingeliangaliwa upya na moderators kama zinatosha kuendelea kujadiliwa Jukwaani.
Ni sawa na kutoa mafunzo/siri ya/za kijeshi kwa adui usiyemjua.
Naunga mkono mkuu
 
toka uwe mshabiki wa ccm akili zote zimekutoka hayo ni mafunzo ya kijeshi ww leo hii urusi akifanya madunzo ya kijeshi na nchi yyte ya NATO au U.K utasema hiyo ni mafunzo tu
anachokizungumza jamaa kina ukweli sema ti impact yake ni ndogo sababu taifa letu si kubwa kijeshi na kiuchumi
tunafahamu tanzania haifungamani na upande wwte lakini hii seta ni ya ki makarayasi na sio uhalisia
Sijui ni umri au ni kutofanya HOME WORK ya kutosha .. Tanzania imekuwa ikipata mafunzo ya kijeshi na kununua au kupewa zana za kijeshi toka kila kona ya dunia.

Anzia US. UK. RUSSIA. ISRAEL. FRANCE CANADA. SA. NIGERIA you mention them.

Hili ni suala la kawaida hapa nchini kwani hata wataalamu wa fani za kiraia hupata mafunzo kote duniani.
 
Hakuna cha aajabu tokea bunduki HK 47 inayotumika hapa Bongo kuanzia polisi hadi JWTZ ni ya kirusi.Huko nyuma miaka karibu 30 zana nyingi na mafunzo ya majeshi kwa wingi yametokana China au Cuba au nchi zilizokuwa na jumuia ya Ulaya mashariki pammoja na Soviet.
Gharama vile vile inachangia,pia mkataba wa Kirusi yawezekana ukalipwa kwa riba ndogo.
Bila kusahau kishoka anao utaalamu,sio kilaza.
 
mkuu hii ni kwenye makaratasi na sio uhalisia mfano tanzania inapokea misaada mingi kitoka USA na chi za ulaya ambazo zipo ktktumoja wa NATO leo ukishirikiana na mpinzani wa hizo nchi zenye msaada kwako utaonekana vp?
Kweli
 
Tanzania haifungamani na upande wowote. Hivyo tunaweza kupokea misaada kutoka pande zote.
 
Madhara yake ndio kama hayo. Umekuja kuanzisha uzi usiohitajika...
Trump ni rafiki mkubwa wa putin rais wa urusi na magufuli ni rafiki WA PUTIN KWA HIYO TRUMP NI RAFIKI WA MAGUFULI SABABU TRUMP NI RAFIKI WA PUTIN AMBAYE NI RAFIKI WA MAGUFULI. CASE CLOSED HAKUNA MADHARA
 
Nimeipenda mno labda twaweza pewa hata ka Su 35SM au hata ka Tornado -S MRS in fact chaguo langu ni Armata T 14...Good move
 
Back
Top Bottom