tANZANIA ina mikoa 30 lakini tangu mheshimiwa rais atinge ikulu kwa term ya pili 2010 kuna mikoa hajatembelea kabisa kujua maendeleo, lakini arusha imekuwa kila mwezi kwa nini???
tanzania ina mikoa 30 lakini tangu mheshimiwa rais atinge ikulu kwa term ya pili 2010 kuna mikoa hajatembelea kabisa kujua maendeleo, lakini arusha imekuwa kila mwezi kwa nini???
TANZANIA ina mikoa 30 lakini tangu mheshimiwa rais atinge ikulu kwa term ya pili 2010 kuna mikoa hajatembelea kabisa kujua maendeleo, lakiniArusha imekuwa kila mwezi kwa nini???
baada ya kumpa kinana ukatibu mkuu anaenda kupanga mipango usiyopangika dhidi cdm .kinana alikubalika sana wakati ule ila sio sasa nguvu kubwa wakati ule ilitoka kwa walaji na wauza gomba .bado ccm ina kazi kubwa Arusha dhidi ya cdm japo kwa kinana ni karata nzuri kwa ccm .
TANZANIA ina mikoa 30 lakini tangu mheshimiwa rais atinge ikulu kwa term ya pili 2010 kuna mikoa hajatembelea kabisa kujua maendeleo, lakiniArusha imekuwa kila mwezi kwa nini???
iko wap iyo kijenge,moshono,njiro,ngaramtoni,kwamrombooo,tengeru................Haa haaa ana small hauz pale naona kaenda kujipoza kidogo baad yakitimtim cha Dom na pale Ngurudoto ana gheto lake la kudumu hakuna mtuanalitumia hata hoteli nzima ijae maana anatokea saa yoyote anapoamua.
Mkuu wewe hujui ile kampuni kubwa ya madini ya Tanzanite mkulu ana hisa kiasi gani?
Mwanzoni alikuwa anamtumia mwanae(Ridhwani), lakini baada ya issue ya china, Mkwele kaamua kukamata mikoba mwenyewe.