Kuna nini Arusha? Rais ziarani Arusha tena

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
TANZANIA ina mikoa 30 lakini tangu mheshimiwa rais atinge ikulu kwa term ya pili 2010 kuna mikoa hajatembelea kabisa kujua maendeleo, lakiniArusha imekuwa kila mwezi kwa nini???
 
tANZANIA ina mikoa 30 lakini tangu mheshimiwa rais atinge ikulu kwa term ya pili 2010 kuna mikoa hajatembelea kabisa kujua maendeleo, lakini arusha imekuwa kila mwezi kwa nini???

kwaekeza, viota vyake vya mapumziko vyote viko pande hiyo .... ukizingatia kitim tim cha dom lazima akapumzike .....
 
Mkuu wewe hujui ile kampuni kubwa ya madini ya Tanzanite mkulu ana hisa kiasi gani?

Mwanzoni alikuwa anamtumia mwanae(Ridhwani), lakini baada ya issue ya china, Mkwele kaamua kukamata mikoba mwenyewe.
 
tanzania ina mikoa 30 lakini tangu mheshimiwa rais atinge ikulu kwa term ya pili 2010 kuna mikoa hajatembelea kabisa kujua maendeleo, lakini arusha imekuwa kila mwezi kwa nini???

i think kaenda kufanya utalii wa

m4c..
 
baada ya kumpa kinana ukatibu mkuu anaenda kupanga mipango usiyopangika dhidi cdm .kinana alikubalika sana wakati ule ila sio sasa nguvu kubwa wakati ule ilitoka kwa walaji na wauza gomba .bado ccm ina kazi kubwa Arusha dhidi ya cdm japo kwa kinana ni karata nzuri kwa ccm .
 
Haa haaa ana small hauz pale naona kaenda kujipoza kidogo baad yakitimtim cha Dom na pale Ngurudoto ana gheto lake la kudumu hakuna mtuanalitumia hata hoteli nzima ijae maana anatokea saa yoyote anapoamua.
 
Huyo Kinana ashakuwa zilipendwa! Na wale machalii wake pale mtaa wa bondeni na Ngarenaro ya Chini wamegeuka wauza gomba! Hawawezi kuisaidia ccm.
 
Akiwa Tanzania mnalalamika akitoka nje manalalamika kweli nyie ndo Chadomo
 
TANZANIA ina mikoa 30 lakini tangu mheshimiwa rais atinge ikulu kwa term ya pili 2010 kuna mikoa hajatembelea kabisa kujua maendeleo, lakiniArusha imekuwa kila mwezi kwa nini???

Twiga na mademu weupeeeee!
 
Haa haaa ana small hauz pale naona kaenda kujipoza kidogo baad yakitimtim cha Dom na pale Ngurudoto ana gheto lake la kudumu hakuna mtuanalitumia hata hoteli nzima ijae maana anatokea saa yoyote anapoamua.
iko wap iyo kijenge,moshono,njiro,ngaramtoni,kwamrombooo,tengeru................
 
sio hivyo wakuuu amekuja kufunga mkutano wa majaji na mahakimu
 
Mkuu wewe hujui ile kampuni kubwa ya madini ya Tanzanite mkulu ana hisa kiasi gani?

Mwanzoni alikuwa anamtumia mwanae(Ridhwani), lakini baada ya issue ya china, Mkwele kaamua kukamata mikoba mwenyewe.

Hapo kwenye nyekundu ni ipi hiyo?
 
Ana Small house pande za huko

Like father like son

481700_4364700009771_36504758_n.jpg
 
Back
Top Bottom