kuna nin hospitali ya Mwananyamala?

raymg

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
842
214
Yapata miaka 2 sasa tangia sakata utupwaji wa vichanga litokee katik hosp hiyo, pia hivi karibun tulishuudia kupotea kwa maiti ya mtoto mchanga kwa uzembe wa watumishi wa hosp, but kana kwamba haitoshi leo hii maiti nyingine imetoweka huku ndg wa marehem wakiandamana kudai mwili wa mpndwa wao! Je kuna nn ktk hosp hii ya rufaa? Kwa nn kunakua na matukio yaleyale kila wakati?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom