kuna nafasi iko wazi TANESCO!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Kwa hali jinsi ilivyo na utaratibu mzima unavyoenda serikalini nafikiri sasa kuna haja na umuhimu wa TANESCO Kuajiri Mkurugenzi na Meneja MGAO. Miaka nenda rudi huu mgao hauishi tu! Hivyo ni vema sasa kukawa na Meneja mgao ambae ataratibu vizuri mgao na kusaidia watu wa Kiembembuzi, Mbagala, Tandika na Makangarawe tukapata umeme sawa na Mtu wa Masaki na Osterbay au wa maeneo duni tukazidi kidogo kwani hatuna uwezo wa majenereta kama hao wenzetu wengine! TANESCO POKEENI USHAURI HUU; MKURUGENZI NA MENEJA MGAO WANAHITAJIKA KWA SASA!
 
it is frustrating kwa kweli. ila meneja wa migao yupo nadhani ila atakuwa anaitwa labda distribution or something like it. Unajua ukiweka meneja migao utaogopesha wawekezaji. vuta subira ndugu, kiranja mkuu latest info anasema miezi 4, 5 ama 6 ijayo problem solved. usivunjike moyo,lol
 
Waungwana mi' napita tu ila nikirudi badaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
 
Nadhan mgao kujakuisha TZ mpaka pale raia tutakapochukua hatua yakubadili uongoz serikalin from rais mpaka balozi ila kwakuacha chama kimoja kila wakati maendeleo kwetu mwiko tutafikisha miaka 100 ya uhuru tukiwa na mgao hivi hivi
 
kama ulisikiliza bunge juzi friday utajua kiongoz wa upinzan bungeni alisemaje juu ya mgao,kama hukubahatika kuna threads nyingi tu humu zimeandika alichokisema!
 
Duh! Meneja mgao! Hii mpya. Vuta subira mpaka mwakani hakutakuwa na mgao tena! hujasikia ahadi ya Ngeleja?
 
Kwa hali jinsi ilivyo na utaratibu mzima unavyoenda serikalini nafikiri sasa kuna haja na umuhimu wa TANESCO Kuajiri Mkurugenzi na Meneja MGAO. Miaka nenda rudi huu mgao hauishi tu! Hivyo ni vema sasa kukawa na Meneja mgao ambae ataratibu vizuri mgao na kusaidia watu wa Kiembembuzi, Mbagala, Tandika na Makangarawe tukapata umeme sawa na Mtu wa Masaki na Osterbay au wa maeneo duni tukazidi kidogo kwani hatuna uwezo wa majenereta kama hao wenzetu wengine! TANESCO POKEENI USHAURI HUU; MKURUGENZI NA MENEJA MGAO WANAHITAJIKA KWA SASA!
n
i kweli kabisaaah
uu mgao inabidi ugawiwe kwa haki kabisa ,.. ni haki yetu kabisa bila kupendeleana hapa tanzania kila kitu ni upendeleo hapa
 
We zima friji umeme ukirudi utaunguza vitu, miaka zaidi ya 40 ya utawala wa CCM
 
Back
Top Bottom