kuna mtu kanionea pacha wangu snowball?

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,709
23,644
mara ya mwisho tuliachana paleee kwenye mishkaki ya firigis
mwenzenu pacha wangu jamani
hata wifi yangu sakapal nae simuoni!
eh jamani nisaidieni kuwatafuta Madame B hujamuona chuoni huko? Nyani Ngabu hata huko ughaibuni nako hawapo? Saint Ivuga kwani hata kwenye fiesta labda alikamwatwa kwa kuwa over aged? Mtambuzi kwani mara ya mwisho si aliniaga anakuja kwako kumuona mdogo wake toto tundu? Boflo hujamuona hata kwenye parlour yako wakifanyiana massage na my wee wangu ?si unajua ni newlyweds. Bishanga hujamuona akija kununua bhitoke jhamani? Preta kule mbezi beach labda hukupishana nae getini af ye akajificha asipigwe picha na Boflo ? Kaizer na we hujamuona hata kwenye viti virefu jamani,wer ist mien bro? FP mwenyee kaka avi koki?wahamba koki na mdala wake? Kaunga hata huko kwako kigoma hujamuona labda kafata migebuka!?
nisaidieni mwenzenu!
 
Last edited by a moderator:
mi nimemuona jana jioni anasema anaenda kwenye kikao cha harusi...halafu kiti cha abiria kulikua na mwanamke mi nilijua ni wewe maana alisema ni dada yake

ah !jamni pacha wangu mwenzenu!mwenzenu kaniachiwa ziwa kwa mama yetu na kachukua urefu wa baba!please Watu 8 hizi ni taarifa kwa mujibu wa geshi re porisi au wale aliokuwa nao kwenye kikao cha harusi?
 
Last edited by a moderator:
alikuja Mbezi beach akiwa na dada yake anaitwa hairball....walinikutwa kwenye swimming pool naogelea.....nilipopiga mbizi kuibuka sikuwaona....labda umuulize Boflo ndo alikuwa anaongea nao......

mh!sa si bora ungemwambia muogelee wote!sas huyo haiball mbona kweny ukoo wetu hatumjui?kwani alisema ni mwalimu?alikuwa mnene mnene hivi au?sasa my wee sakapal alikuwa wapi muda huo?
 
Last edited by a moderator:
mmmhh!!...yaani mdogo wangu pacha wangu wa kuachiana ziwa snowhite usiwe na wasiwasi (ila nimejua kumbe unanipenda sana tena saaaaana)...japo sikukuaga lakini amini tu 'handsome boy' wenu niko salama...fanya mama ajue manake siunamjua na mipresha zake!!. Najua Preta alitaka kuniletea za kuleta huko kwao Mbezi..na hata watu8 japo nilimkaushia lakini naona kaamua kumwaga mtama kwenye bata wengi. Ni kweli yalinikuta makubwa pacha wangu snowhite ntakupa mpango mzima nikija pande zako.., hao kina Ruttashobolwa sio watu kabisa..hilo geshi la polishi!..lol! sakapal wangu wamenichukulia na mimi wamenipa mwaisha magumu..ila sio issue bana.. BADILI TABIA si bora hata ningekuwa naijaza dunia...lolest!..My dada FP nipo salama ila sema sijatulia..salimia familia!!!
 
Last edited by a moderator:
:poa

:poa:poa:biggrin::lol::A S 465::biggrin::biggrin::lol::A S 465::poaasavali!manake watu washasema sana huku oh ndo wewe ulikuwa unafanya kazi TRA ,mara oh we ndo uliongoza kikosi jamii,mara oh juzi usiku ulikuwa kwenye kikao cha harusi mpaka saa 7 kwa kweli mradi tu maneno yalikuwa mengi sana kuhusu kutokuonekana jamvini,kuna mtu akaniambia uko na thesis unatafuta sijui nini,basi mradi tu home ilikuwa sintofahamu!mama yetu presha juu hasa pale Preta aliposema eti ulivoenda mbezi beach ulikua na mdada anaitwa hairball mi ndo nikaona mh!hebu nitoe angalizo!
 
afadhali pacha wake mlongo wangu umerudi, maana pacha wako snowhite alishapata presha. wifi hajambo? kaloweka nguo zote huwezi kutoka? lol!
 
Last edited by a moderator:
hehehehehe...usiwe na hofu my pacha snowhite naweka mambo sawa tu ntaibuka soon...lol ...hao waache waseme tu!
Kuna vijimambo vimenibana tu mwaya..na imetokea bahati tu ile kuibuka nakutana na kigongo hiki..loset!
:poa

:poa:poa:biggrin::lol::A S 465::biggrin::biggrin::lol::A S 465::poaasavali!manake watu washasema sana huku oh ndo wewe ulikuwa unafanya kazi TRA ,mara oh we ndo uliongoza kikosi jamii,mara oh juzi usiku ulikuwa kwenye kikao cha harusi mpaka saa 7 kwa kweli mradi tu maneno yalikuwa mengi sana kuhusu kutokuonekana jamvini,kuna mtu akaniambia uko na thesis unatafuta sijui nini,basi mradi tu home ilikuwa sintofahamu!mama yetu presha juu hasa pale Preta aliposema eti ulivoenda mbezi beach ulikua na mdada anaitwa hairball mi ndo nikaona mh!hebu nitoe angalizo!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom