Kuna Mtu Anajitapa: Tumtajie Wauza Madawa wakubwa

Hivi akiambiwa kuwa watoto wa wakubwa serikalini ndo matajiri wa biashara hiyo ataweza?
Aanze na hao kwanza uliowataja.
 

Attachments

  • 1448171818592.jpg
    1448171818592.jpg
    10 KB · Views: 253
  • 1448171846630.jpg
    1448171846630.jpg
    7.6 KB · Views: 362
Magufuli anajua wadanganyika wanataka tone ipi.kuna vitu wala sio vya kupiga kelele ni matendo tu ndo yanatakiwa kusema.Nzowa anawajua wote ni suala la kuwadaba tu
 
Nikisikia Jina la Oliver Tambo basi namuona JK ,Nzowa,Masogange na Rumishael wakiwa na viroba vya dawa za kutengeneza panadol.



Siamini hayo unayosema,kwani jk au riz wakitaka pesa haramu ni lazima wabebe unga?wewe hujui nguvu ya rais unaisikia tu!
 
Unapomsikia mtu anajitapa kuhusu kitu fulani ni bora ukamtajia! Sasa huyu jamaa anayejitapa kwamba amedhamiria kupambana na wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya ili aweze kuwadhibiti! Hivi akiambiwa kuwa watoto wa wakubwa serikalini ndo matajiri wa biashara hiyo ataweza?

Aanze na Ridhiwan Kikwete
 
Unapomsikia mtu anajitapa kuhusu kitu fulani ni bora ukamtajia! Sasa huyu jamaa anayejitapa kwamba amedhamiria kupambana na wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya ili aweze kuwadhibiti! Hivi akiambiwa kuwa watoto wa wakubwa serikalini ndo matajiri wa biashara hiyo ataweza?


kwenye ufunguzi wa bunge dr magufuli alisema "tutahakikisha tunawasaka vigogo wanahojihusisha na madawa ya kulevya.Na si vidagaa"

My stake: asihangaike kuanza upya kuwasaka wauza madawa;sababu mtangulizi wake {jk} aliwahi tuambia anawajua wauza madawa ya kulevya, na pia orodha ya majina anayo.
Hivyo magufuli aende moja kwa moja kwa jk amkabidhi hayo majina ili "AWASHUGHULIKIE??????"
 
Nafikiri huijui sheria ya kinga ya kibunge, ni matendo yanayofanyika ndani ya bunge tu ukifanya kosa nje ya bunge unahukumiwa kama mwanachi mwingine.

Sio kama sifahamu, siku hizi CCM wakijisikia kusema kitu chochote tu wanasema, nilijaribu kuwaiga.
 
Back
Top Bottom