Kuna mkutano wa Chadema stendimpya Shinyanga

Shibuda anasema CDM ni mbadala wa ccm na dawa kwa mafisadi. Pia anasema bila chadema nchi ingekuwa nyuma na mambo yangekuwa mabaya. Anaongea mengi sitaweza kuandika yote lakini nitajitahidi.
 
Shilungushela ambaye ni diwani wa sehemu hii(Stendimpya) anasema utaratibu wa kuhamisha stendi haukufuata utaratibu, kwamba baraza la madiwani halikujadili.
 
Pia Shibuda anasema kesi ya kupinga matokeo ya mbunge wa Shinyanga mjini inaendelea. Mkutano umekwisha watu walikuwa wengi baadae nitaweka picha.
 
Back
Top Bottom