Kuna mawaziri watakufa muda wowote

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mrithi wa shekh yahya na ambae ni mtoto wake amesema kuwa mwaka huu kuna mawaziri watakufa ghafla,na pia kuna viongozi wakubwa wa kidini watafanya mambo ya ajabu ambayo yatawadhalilisha na kuwashushia unaarufu na heshima zao.

KUMBE MAMBO HAYA BADO YAPO???
SOSI:MAJIRA
 
Bwana hili ndilo kosa linalofanywa na wananchi wa nchi hii. Kila kitu mnakiaminisha kwa miungu watu which is very bad. sion sababu ya kusikiliza wabashiri au wenye pepo za utambuzi ambao kwa kufanya hivyo wanajipatia hela wao huku sisi tukienelea kumkosea mUngu.

Yawezekana kwa miongoni mwetu wapo waliombadili Mungu kwa vitu visivyofaa basi ndiyo maana mpaka leo mkanisa ni mengi lakini bado uwepo wa Mungu miongoni mwetu haupo. Dhiki maadili mabaya, magonjwa , vifo na mambo ya kufanana na haya kwetu yamekuwa ni kawaida. Ee Mungu tuhurumie sisi taifa la Tanzania.
 
Mtamjuaje kuwa na yeye ni mtabiri bila kutabiri vigogo????hata shekh yahya alikua na tabia hiyohiyo
 
ha ha ha mwambie aache upuuzi wake huyo mshirikina, atawaroga yeye mwenyewe wafe awe maarufu

huyu jamaa kwa sasa ndo aliyeibeba MIKOBA ya babake,ila sijui ni kwanini anaweza kualika watu halafu awaambie watu juu ya kifo cha mtu au watu
 
Kazi kweli kweli! Haina neno watateuliwa wapya

Kwa sasa tulipofikia utasikia mtu anajibu kazi ya freemason
Mwingine, ashindwe kwa jina la yesu!!
Yaani jamii ya watu waliokata tamaa na kuamini kuwa kila kitu kiko nje ya uwezo wao, tunampa kazi kubwa sana Mungu!! Yaani fikiria kule DRC awepo hata hapa?

Ni mawazo tu!!!
 
huyu jamaa kwa sasa ndo aliyeibeba MIKOBA ya babake,ila sijui ni kwanini anaweza kualika watu halafu awaambie watu juu ya kifo cha mtu au watu

Dogo hajatoka, kazi imemkataa kabisa na wateja wamepungua, ngoja tuone kama hii itamtoa !
 
Dogo hajatoka, kazi imemkataa kabisa na wateja wamepungua, ngoja tuone kama hii itamto !

itamtoa hii,,,,,subir tu,,,sijui kama anaendelea na show zake uhuru fm na channel ten huko ndiko babake alikua akijimwayamwaya
 
mrithi wa shekh yahya na ambae ni mtoto wake amesema kuwa mwaka huu kuna mawaziri watakufa ghafla,na pia kuna viongozi wakubwa wa kidini watafanya mambo ya ajabu ambayo yatawadhalilisha na kuwashushia unaarufu na heshima zao.

Kumbe mambo haya bado yapo???
Sosi:majira

nawasali katika jina la bwana wangu yesu kristo,huyu kijana mrithi wa shehe yahya ni agent wa ibilisi shaetani anachokifanya ni kutumia hayo majini yake yakawauwe hao aliowakusudia na pia anatuma majini yake mengine yafuate hao viongozi wa dini wakafanye hayo aliyosema kwamba watajiharibia jina mafano anatuma jini au pepo la umalaya au wizi linakufanya uibe.sasa la kufanya mawaziri na hao viongozi wa dini wamshike sana mungu na kuomba ili kusudi hayo majini ya mtoto wa shehe yahya yasifanye kazi kwao na aaibike na utaniri wake wa kishetani,freemasons kazini maombi ndio silahaa kwa jina la yesu,anayebisha kazi kwakeeee.
 
joyc,,mungu ndo ana nguvu ya kuuondoa uhai wa mtu
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi kusikia eti Shekh Yahya alikuwa anatumika na Serikali kuwapumbaza wananchi!!
 
hao mawiziri nisehemu binadamu hivyo kufa muhimu ni binadamu hatushangai je alitaka afe babaake tena
 
Back
Top Bottom