Kuna madhara kwa mtoto kwa kujamiana na mama anayenyonyesha?

Ukweli ni kwamba hakuna tatizo lolote kiafya litakalomkuta mtoto. hii logic IPO kimila na desturi au kijamii si vizuri kutembea na MTU asiye mumeo wakati inanyonyesha.

Mkuu upo sahihi, Niongeze kidogo tu hapo; Ipo hivi "Kama wewe na Mkeo/Mumeo mna mtoto ananyonya swala la kujamiiana nyinyi kama baba na mama wa mtoto halina tatizo kwa mtoto.
Tatizo linakuja mmoja wenu anapotoka nje yaani kujamiiana na mtu mwingine bila ya kuoga ili kuondoa jasho ,halafu anarudi nyumbani anamshika, anampakata mtoto lile jasho linamuasiri mtoto.
Vilevile kwa mama ambae ametoka nje bila kinga, pekupeku, na yale manii ya mwanamume aliyetoka naye baadhi yanaenda kwenye damu ya mama na kusafirishwa hadi kwenye maziwa yake ambayo mtoto wake hunyonya yakiwa na virutubisho vya manii ya mtu mwingine ambaye si baba yake mzazi humuathiri mtoto .

Wazee wetu husema kubemenda au kumkanyaga mtoto
 
Hamna kitu kama hicho ilimradi zingatia usafi tuuu unafanya vizuri kwa kujiachia
 
Mkuu upo sahihi, Niongeze kidogo tu hapo; Ipo hivi "Kama wewe na Mkeo/Mumeo mna mtoto ananyonya swala la kujamiiana nyinyi kama baba na mama wa mtoto halina tatizo kwa mtoto.
Tatizo linakuja mmoja wenu anapotoka nje yaani kujamiiana na mtu mwingine bila ya kuoga ili kuondoa jasho ,halafu anarudi nyumbani anamshika, anampakata mtoto lile jasho linamuasiri mtoto.
Vilevile kwa mama ambae ametoka nje bila kinga, pekupeku, na yale manii ya mwanamume aliyetoka naye baadhi yanaenda kwenye damu ya mama na kusafirishwa hadi kwenye maziwa yake ambayo mtoto wake hunyonya yakiwa na virutubisho vya manii ya mtu mwingine ambaye si baba yake mzazi humuathiri mtoto .

Wazee wetu husema kubemenda au kumkanyaga mtoto
Ni kwel manii ina uwezo wa kusafiri kwenye damu? Kivip naomba unieleweshe
 
Dah!...kunammoja nilikutana nae akiwa ananyonyesha basi baada ya show akaniambia nijifute jasho langu kwa mikono alafu nimnyoonshe mtoto kuanzia juu kushuka chini yaani nilimnyoosha shingo mikono na miguu nilipo muuliza inasaidia nini akaniambie mtoto asirudi nyuma yaani kudumaa/kudhoofu kweli tembea uone hii ni Ta
 
Ukweli Ni huu! Kwa kuwa mama anapojifungua(kuzaa)sehemu zake za siri huwa hazipo katika Hali nzuri kwa kujamiiana na kwa kuwa kuna wanaume ambao huwa wamezoea kuchapa daily basi wamama huwa na hisia kuwa waume zao huenda kumaliza haja zao kwa michepuko,kwa hiyo ili kuwazuia waume zao kuchepuka ndiyo wakatunga hadithi hiyo ili kuwatisha waume zao!! Pia sababu za kiusafi zina top up conspiracy hiyo! Ila hakuna sababu yoyote verified scientifically iliyo prove dhana hiyo, ila Epuka zinaa! Kwani zinaa ina madhara mengine mengi zaidi hiyo conspiracy theory ya Kubemenda.
 
Hakuna tatizo lolote we kamua tu! Stories za kubemenda no ushirikina wa kiswahili tu na wengine wanakosa lishe bora wanasingizia mtt kabemendwa
Kinachobemenda mtoto ni uchafu anaokula kutokana na nyie wafanya mapenzi kipindi km hicho kuwa wachafu kiasi cha kumfanya mtoto aule uchafu. Kiafya na kisayansi mwanamke anaweza kufanya mapenzi baada ya siku arobaini toka ajifingue.
 
Back
Top Bottom