YEYE
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 437
- 72
Kwa wale wenyeji wa Dodoma watakuwa wanaifahamu hy Bar maarufu kwa kuuza nyama choma, kuku nk,Kwa wanaopenda kwenda bar hy ningependa kujua kuna kitu gani tofauti sana na bar nyingine za Dodoma, ukizingatia mazingira ya eneo hl ni ya kawaida sana,hasa nyakati za usiku huwa panajaza watu sana.