Kuna jongoo wenye sumu wanaouma?

Hats sijui wanaumaje....nimezoea kuwaweka kiganjani wakiwa wanyoofu then nafurahi kuwaona wakijikunja
Binafsi nikimkuta jongoo anatambaa kuelekea barabarani, huwa namchukua kwa upole na unyenyekevu, na kumrudisha katika majani au sehemu salama ambayo haitampa nafasi ya kuelekea sehemu hatarini again kwa maisha yake kama barabarani, kwenye shimo, moto nk.

Jongoo ni wapole, hawatakiwi kuogopwa, bali kusaidiwa pale inapobidi.

Mleta mada inabidi afunzwe kutofautisha kati ya jongoo na nyoka.
 
😂kabisa
 
Inategemea kuna jongoo jongoo na jongoo wa kutumwa😁😁
Nahisi mleta mada anazungumzia haya majongoo yaliojificha ndan ya suruali zetu.

Hawa kweli wanasumu, ndio maana unaweza kukuta likimuuma mtu sawa sawa, basi alieumwa hukimbilia kuvimba tumboni. Na uvimbe wake hudumu kwa miezi tisa.
 
Vijana mnaobalehe kila kitu mnakihusisha na ngono tu
Kwahiyo wewe na utu uzima wako umeshindwa kung'amua kuwa jamaa ametumia fasihi kufikisha ujumbe wake?

Hivi unafikiri mleta mada hamjui jongoo wa kweli kama unavyofikiria?

Wakati mungine mtu anaweza kuanzisha mada inayohusu pili pili kichaa na wakati huo akiwa kamlenga mtu fulani. So wataalam wa fasihi huwa tunang'amua fasta na kutambaa kwa style ile ile ya fasihi fasihi kama alivyokusudia mletaji wa mada.
 
💩💩💩
 
Back
Top Bottom