Kuna helicopter inazurura mjini imebeba bango!

Huyoo Afisa Masoko kabuni njiaa nzuri, kwa sababu watu wemekuwa attention kujua kuna ujumbe gani nyuma yake na hilo ndilo lilokuwa dhumuni lao, Big Up kwako Afisa Masoko wa Airtel.
 
H
Hapa ndo utaona sisi watanzania tunapenda mizaa sana ( utani) mtu anauliza swala zuri tu lakini watu wanajibu tu wanavyojisikia kwani mkitulia tusubiri wenye kuwa na majibu sahihi kuna ubaya?

Hili ndilo tatizo letu kubwa!!!
 
Back
Top Bottom