Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,226
Itakuwa kitwanga anarud
Haijaandikwa Gwajima jisalimishe?Hata mimi nimeiona huku Tegets imepita. Bango lina rangi nyekundu sijui limeandikwa nini maana nilikua mbali kidogo. Aliyeona kwa karibu atuambie limeandikwa nini.
Mbona una wasiwasi sana mkuu?HujiaminiWatakuwa TCRA Labda...Wanatukumbusha.
Labda idi aminiNimeiona hiyo tegeta ila nimeshindwa elewa bango lina ujumbe gan
Ubungo -Posta?mi nimeliona nadhani limeandikwa mwendokasi kwa maandishi mekundu km ntakua nimesoma vizuri.
Aaaahhhhh binadamu mnatisha sanaZito kaamuwa kachambua budget angani nina hofu tu na kile kilichofungwa kwenye lile tambaa kwa chini ni kitu kizito sana.
Huo ujumbe unamuelezea nani asahau?mimi nimesoma mwenyewe linasomeka hivi UWENYEKITI WA CCM SAHAU
Hamia hallo tel hutojutia uamuzi wakoAirtel wazushi Hamna lolot net yao iko slo sana
Mi sijui kitu![]()
![]()
majibu ya humu ni kiboko
napita?????Hapa ndo utaona sisi watanzania tunapenda mizaa sana ( utani) mtu anauliza swala zuri tu lakini watu wanajibu tu wanavyojisikia kwani mkitulia tusubiri wenye kuwa na majibu sahihi kuna ubaya?
Kwa iyo ulitakeje mkuu?? Maisha hayataki hasira,majukwaa ya watu kuwa serious yapo! Kwa iyo ungesema aliyekuloga wewe amekuweza!Asilimia kubwa ya majibu yamejaa mizaha na utoto mwingi, kwny media za wanaoendelea zimejaa udadisi, challenges na solutions, watu wapo serious, hapa viwanda haviwezi simama kwa aina hii ya watu, #aliyetuloga kweli alituweza

Huyu mbona km mhaya pande za KanyigoView attachment 357067 Wabongo makatuni sanaaa
Sawa Sawa boss, sihitaji chochote zaidi, naishia hapoKwa iyo ulitakeje mkuu?? Maisha hayataki hasira,majukwaa ya watu kuwa serious yapo! Kwa iyo ungesema aliyekuloga wewe amekuweza!