Kuna haja gani ya kuwa na chombo kama tcu.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
TCU ni chombo ambacho hutumiwa kuakiki elimu za watu waliosoma nje na ndani ya nje. sasa na jiuliza kuna haja gani ya kuwa bureaucratic nyingine ndani ya serikali kwa ajili ya kutafuna kodi za wananchi. kama kuna mtu au mwajili yeyote anataka kuhakiki vyeti vya watumishi wake kwanini asiwasiliane na Taasisi usika au kama anaona mfanyakazi wake ni mbabaishaji na utendaji wake haulingani na elimu kwa kazi anayoifanya basi timua ajiri mwingine anayefaa. binafsi sioni haja yeyote ya kuwa na chombo kama hiki na hasa baada ya issue ya Msemakweli baada ya yeye kutoa ushahidi wote kuhusu mawaziri kufoji vyeti na TCU badala ya kudili na wahusika wakataka kumnyamazisha Msemakweli ??
 
Back
Top Bottom