Kuna future hapa?

Habari zenu wanajamvi...nashindwa kumuelewa huyu mpenz wangu ni yule mtu ambaye ikitokea mmekorofishana atakuongelea maneno machafu sana yan hauamin kama yametoka katk kinywa chake,ivi karibuni umetokea ugomvi kidogo amenitamkia maneno ambayo kila nikimuona napatwa na hasira sana anajidai kuomba msamaha,je huyu n mtu naeweza kuishi nae kwa amani pindi tutakapofunga ndoa?

Acha nae usipoteze muda wako tafuta mwingine azibe pengo lake.
 
Habari zenu wanajamvi...nashindwa kumuelewa huyu mpenz wangu ni yule mtu ambaye ikitokea mmekorofishana atakuongelea maneno machafu sana yan hauamin kama yametoka katk kinywa chake,ivi karibuni umetokea ugomvi kidogo amenitamkia maneno ambayo kila nikimuona napatwa na hasira sana anajidai kuomba msamaha,je huyu n mtu naeweza kuishi nae kwa amani pindi tutakapofunga ndoa?

Kama una hamu ya kuona wazazi wako wakitukanwa na kudharauliwa muoe huyo mpenzi wako cha matusi! achana naye hana adabu.
 
Ni jambo baya sana kukorofishana na mpenzi wako alafu kwa muda mfupi ambao mpo na huo mgogoro wa mapenzi anasema maneno mengi ikiwa pamoja na udhaifu wako au uwezo wako na mabo mengine ambayo siyo ya maana kwa wengine nje yako nae.hachana nae huyo kesho na keshokutwa utakosa raha ya mapenzi na mwisho kuwa karaha.
 
Kila nchu na tabu zake vo! Nkikuelezea shida za kwangu utashindwa kunchachulia vo! Nke vangu tangu arudi kwao takriban wiki mbili na masiku mpaka sasa hivi .....ningekueleza ela kisa nkirefu nno vo!
 
Habari zenu wanajamvi...nashindwa kumuelewa huyu mpenz wangu ni yule mtu ambaye ikitokea mmekorofishana atakuongelea maneno machafu sana yan hauamin kama yametoka katk kinywa chake,ivi karibuni umetokea ugomvi kidogo amenitamkia maneno ambayo kila nikimuona napatwa na hasira sana anajidai kuomba msamaha,je huyu n mtu naeweza kuishi nae kwa amani pindi tutakapofunga ndoa?
You can't teach an old dog new tricks sawa baba. usiangalie nyuma utageuka jiwe la chumvi hiyo murder kesi badae.
 
Labda tabia zako ndo zimemfanya dada wa watu ashindwe awe na tabia Hiyo ya mdomo mdomo tena mchafu!hebu jikague kwanza ndo ufanye maamuzi yenye busara!kama utaona wewe ni mstaarabu ila mwenzio ndo siyo mstaarabu mwache!ikiwa vinginevyo huyo ni wa kwako na wala si wa mtu mwingine
 
Hapo Nakushauri chukua Hamsini zako Mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaa..
Achana naye hakuna kitu hapo,Ndoa bado anatoa makucha hivi,Mkioana itakuwaje???

RUN AWAY.

Habari zenu wanajamvi...nashindwa kumuelewa huyu mpenz wangu ni yule mtu ambaye ikitokea mmekorofishana atakuongelea maneno machafu sana yan hauamin kama yametoka katk kinywa chake,ivi karibuni umetokea ugomvi kidogo amenitamkia maneno ambayo kila nikimuona napatwa na hasira sana anajidai kuomba msamaha,je huyu n mtu naeweza kuishi nae kwa amani pindi tutakapofunga ndoa?
 
Vipi ubwabwa ulilika maana ni muda sasa tangu ufungue huu uzi
 
Habari zenu wanajamvi...nashindwa kumuelewa huyu mpenz wangu ni yule mtu ambaye ikitokea mmekorofishana atakuongelea maneno machafu sana yan hauamin kama yametoka katk kinywa chake,ivi karibuni umetokea ugomvi kidogo amenitamkia maneno ambayo kila nikimuona napatwa na hasira sana anajidai kuomba msamaha,je huyu n mtu naeweza kuishi nae kwa amani pindi tutakapofunga ndoa?
Una hela?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom