Kuna baadhi ya watumishi wa umma wanapiga perdiem za maana sana huko tamisemi

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Utakuta jamaa ndani ya mwaka mzima wao wako nje ya vituo vya kazi wanapiga kazi na jamaa wa ps3 wakishirikiana na tamisemi.

Hawa jamaa wako kwenye mradi wa planrep ( mfumo wa mipango na bajeti) unaotekelezwa na tamisemi kwa kushirikiana na ps3.

Unaambiwa tangu mfumo huo uanze mwaka jana jamaa hawajawahi gusa mishahara yao kwa matumizi ya hapa na pale. Yaani wao ni perdiem tu ndio wanatumia.

Unaambiwa mfumo wenyewe ukikamilika ni mzuri sana kwa kurahisisha mipango na bajeti.

Hawa jamaa wanakwambia kila kukicha wao ni kujitengenezea kikazi mara utasikia tuko tunarekebisha kwenye mfumo kitu fulani . Watakaa hapa Dodoma kwa mwezi mzima wanapiga pesa tu.

Mwezi mwingine utasikia wamewatumia waajiri wao barua kuwa wako hapa Dodoma wanafanya maboresho kwenye mfumo. Wanakula perdiem tu.

Nusu mwaka wa fedha unaenda kukatika lakini mfumo wa planrep haujatoa matokeo yaliyokusudiwa sasa unabaki kujiuliza hawa wanaojiita watalaam miezi yote hiyo wanapokuwa hapa Dodoma huwa wanafanya kazi gani.

Na wengine ukipita mitaa ya nako ni chako utakuta wamekaa tu hasa mida ya kufanya kazi. Mwezi ukikata anaombewa ruhusa kwa mwjiri wake abaki hapa Dodoma kwa ajili ya kufanya maboresho kwenye mfumo. Kumbe ni kupiga pesa tu.

Na unaambiwa hao watalaam hivi sasa wanakiburi cha ajabu sana. Hasa pale maafisa kutoka Serikali za mitaa wanapohitaji msaada kwenye mfumo .Mara nyingi huwa wanawafokea tu badala ya kuwapa ushauri.

Labda tuwaambie tu kwamba, huo mfumo Serikali yetu inauhitaji sana ili kurahisisha mipango na bajeti zake .

Lakini nyie mnaojiita watalaam ndio mnaoikwamisha serikali.

Serikali inahitaji matokeo ya uwekezaji kwenye huo mfumo kupitia ps3. Na inahitaji mfumo utoe matokeo yaliyokusudiwa.

Nyie watalaam yaani mmefanya huo mradi ndio sehemu ya kupigia pesa.

Kwa kweli Serikali hii haitavumilia maboresho yenu ya kila siku ambayo hayaishi.

Serikali inahitaji matokeo ya haraka na nyie mnazunguka zunguka na maboresho yenu kila siku huku mkilipana pesa tu.

Nakala: kwa mkuu sana ( kwa ufuatiliaji wa karibu mienendo ya watalaam hao)

Tanzania kwanza siku zote.
 
Utakuta jamaa ndani ya mwaka mzima yeye yuko nje ya kituo chake cha kazi anapiga kazi na jamaa wa ps3 wakishirikiana na tamisemi.

Duh jamaa unawivu ww balaaaa
 
Wivu wa kike umekufanya uandike as if wote humu wanajua hiyo Ps3.

Hivi TAMISEMI si Ipo Dodoma muda mrefu? Sasa hao wanakula per diem wakati bado wapo hapo hapo Dodoma?

Hebu pata facts vizuri kuhus huo mradi, wizara na hiyo ps3 (ni nini hii?) halafu weka vizuri hoja yako. Sasa hivi unaonekana kama santuri iliyovunjika - hoja zako zinagongana.
 
Kwa hiyo sisi tukusaidieje? Hata Mimi kazini kwangu sasa nina wiki ya 3 hapa Arusha napiga perdiem za maana! Wacha wivu wa kikumama!
 
Back
Top Bottom