How??? maana hata Muhimbili hospital nao hawataki picha.Picha siyo nzuri kiusalama
Hamchelew Kuja kuiweka umu mkasema ona serekal inavyo kula hela za wananch Yan Panton Lina rangi ya ccm
pale karibu na Ikulu ya DarWenye elimu zaidi watujuze... wazee....
Ni kweli. Hizi ni sababu za ile miaka ya zamani kabisa kipindi ambacho technolojia ipo chini sana. Dunia ya sasa kuna satelite na vyombo kibao vinavyoweza kupiga picha nzuri kabisa hata rais akiwa uani kwake. Ila sehemu kama Muhimbili wanakataza ili kuficha baadhi ya mambo ambayo hayako sawa. NB: Sehemu kama hospital wodini, emergency area na maeneo mengine hata mimi naunga mkono wakataze kupiga picha kwani tangu kila mtu awe na kamera kuna ulimbukeni wa kupiga picha kwa matukio yanayohotaji privacy.Zamani nadhani ilikuwa na sababu ila kwa dunia ya sasa sidhani kama kuna sababu ya msingi...
KumbeItakuwa pia ni njia ya kuepuka lawama iwapo chombo kitapata ajali halafu ibainike kwamba chanzo ilikuwa ni uzembe wa TEMESA kwa kubeba abiria kuliko capacity ya chombo. Overloading bado imekuwa ni kizungumkuti katika sekta ya usafirishaji abiria katika nchi hii.
Inawezekana...pale karibu na Ikulu ya Dar