Kuna anaowafahamu kilimanjaro cement?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Hicho kiwanda inasemekana kiko mkoani Tanga.

Wife kaitwa kwenye interview nafasi ya sales, kuna anaowafahamu hao jamaa na scales zao za malipo?
 
Nawajua tu wako Tanga karibu na simba cement ila mambo yao ya ndani siyajui.

Ila kwa hapa bongo viwanda vya cement vinavyolipa vizuri ni Twiga, simba na mbeya cement, ila hivi vinavyochipukia ni mishahara ya kawaida tu coz vimejaa wahindi na wachina.
 
Yaani anaitwa interview unaanza kuulizia mishahara mtandaoni dah.......hata kazi hajapata

Si aende atajua tu kila kitu akifika mkuu. Hii mitandao inawalemaza sana hii, vijana hamtaki tena kushirikisha busara
 
Pengine akigundua mshahara hauridhishi anaweza piga chini interview na kuokoa gharama
 
Yaani anaitwa interview unaanza kuulizia mishahara mtandaoni dah.......hata kazi hajapata

Si aende atajua tu kila kitu akifika mkuu. Hii mitandao inawalemaza sana hii, vijana hamtaki tena kushirikisha busara
Kuna ubaya gani mtu akipata ABC?
 
Back
Top Bottom